4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Nov 24, 2024 #21 econonist said: Mimi nawashangaa upinzani kushiriki huu ujinga halafu baadae waanze kulaumu kwenye vyombo vya habari. Click to expand... Umehongwa , uchaguzi na kilicho siri nje ya uchaguzi kinajulika , maccm walitaka fanya chama flani kuwa chama kikuu cha upinzani kupitia vibaraka wao wachache ndani ya chama husika
econonist said: Mimi nawashangaa upinzani kushiriki huu ujinga halafu baadae waanze kulaumu kwenye vyombo vya habari. Click to expand... Umehongwa , uchaguzi na kilicho siri nje ya uchaguzi kinajulika , maccm walitaka fanya chama flani kuwa chama kikuu cha upinzani kupitia vibaraka wao wachache ndani ya chama husika
JET SALLI JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,392 Reaction score 1,578 Nov 25, 2024 #22 Kabende Msakila said: Asante Mnafanya makosa sana kutotaka kuambiwa ukweli Baada ya 27/11 hope tutarudia kusemezana Wajukuu zangu nanyi wanangu hope mnajitia upofu tu kuhusu kazi nzuri za CCM Siasa na utashi wa madaraka vimewapofusha sana Click to expand... Ww ni mgonjwa mahututi uko ICU na huelewi rafu za uchaguzi zinazoendelea,kumbe hata tukiendelea kuzungumza na ww tunapoteza muda tu.
Kabende Msakila said: Asante Mnafanya makosa sana kutotaka kuambiwa ukweli Baada ya 27/11 hope tutarudia kusemezana Wajukuu zangu nanyi wanangu hope mnajitia upofu tu kuhusu kazi nzuri za CCM Siasa na utashi wa madaraka vimewapofusha sana Click to expand... Ww ni mgonjwa mahututi uko ICU na huelewi rafu za uchaguzi zinazoendelea,kumbe hata tukiendelea kuzungumza na ww tunapoteza muda tu.
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Nov 29, 2024 Thread starter #23 JET SALLI said: Ww ni mgonjwa mahututi uko ICU na huelewi rafu za uchaguzi zinazoendelea,kumbe hata tukiendelea kuzungumza na ww tunapoteza muda tu. Click to expand... CDM kaisha
JET SALLI said: Ww ni mgonjwa mahututi uko ICU na huelewi rafu za uchaguzi zinazoendelea,kumbe hata tukiendelea kuzungumza na ww tunapoteza muda tu. Click to expand... CDM kaisha
Kabende Msakila JF-Expert Member Joined Oct 7, 2020 Posts 1,809 Reaction score 1,692 Nov 30, 2024 Thread starter #24 CDM, ACT, Nccr, CUF sasa mmejelewa? * Skuandka haya sbb n mwanannm