Asee nimeamini mkono mtupu haulambwi , tumeona wachezaji wa Simba wakitangaziwa donge nono baada ya kufanya vizuri dhidi ya As Vita , pamoja na kweli As Vita ni timu kubwa vijana wakajituma wakaibuka Na ushindi , Leo hii Taifa stars nao najua wametangaziwa kitita, nadhani mnaona wenyewe kinachotokea uwanjani kati ya Taifa stars Na Uganda the cranes...
Sent from my iPhone using Tapatalk