Tanzania tunadaiwa zaidi ya Pound million mbili na jiji la London UK

Tanzania tunadaiwa zaidi ya Pound million mbili na jiji la London UK

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.

moivlstawl1d1.jpg
 
Walipe tu kama issue ipo kisheria na balozi wanalijua hilo. Or wafunge balozi japo deni halikimbiwi
 
Fedha wanayotumiwa kwa ajili ya uendeshaji ofisi na matumizi kwa nini hawalipi madeni?
 
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo hatujazilipa.

View attachment 2995641
Halafu mwakani Serikali yao itoe msaada wa GBP 500,000 kwa ajili ya bajeti yenu na ndugu Nchemba aende Bungeni kushukuru Uingereza.
 
Balaa ni pale unapofurahi kuwa una wenzako wengi nao wanadaiwa hivyo unajipa Tumaini halafu ghafla tu list ijayo ya wale stubborn minority wanaodaiwa umebaki wewe tu kwenye list haha...
 
Mkikubali USHOGA, bas wanafuta madeni yote na wanawaa mikopo mingine buree isiyo na riba.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fresh kama uchawa tumekubali iweje ushoga...mtu akiamua kuliwa aliwe tu
 
Back
Top Bottom