Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je tunaenda wapi? Wakuwapi wazee kama Warioba tupate katiba nzuri.
Wazee wanajua lakini waoga
Wapinzani machachari
wanaopenda uboss
Wazee wanajua lakini waoga
Wapinzani machachari
wanaopenda uboss