Tanzania tuko njia panda kwa kweli. Tuna vijana ambao wamekulia kwenye uchawa na wanajali uongozi tu na wazee ambao hata kama wanajua na wana busara wanaogopa mawe ya CCM. Upinzani tuna vijana machachari ambao wapo tayari kwa lolote, kuna wanaopenda uboss na madaraka na wengine wamenunuliwa. Je tunaenda wapi? Wakuwapi wazee kama Warioba tupate katiba nzuri.
tayari wamemaliza sehemu yao ya uongozi wakiwa kwenye nafasi mbalimbali, na kwakweli wana imani kubwa mno na vijana hasa wa CCM walioshika hatamu, wameridhika mambo yanakwenda vizuri, nchi imetulia Taifa linakua na kuimarika kila uchwao 🐒