Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

Haya yote yamesababishwa na Jiwe na sasa huyu anapita humo humo, maelekezo yote ni wazi yanatoka kwa Dola na mcheza sinema wetu anayajua haya vizuri sana.
 

Hata ukimtazama tu huyo jaji mkuu unaona kabisa ni mtu wa ndio mzee, na ana utii wa kizubavu. Yaani wanasiasa wa ccm hawapati tabu kupeleka siasa zao chafu zikatakatishiwe humo. Na yeye hataki kuwaudhi wanaomlipa, anatii chochote watakacho.
 
Hata ingekuwa wewe ,unasema tu Sababu uko nje ya huo mhimili,hata aje Nani lazima afate maelekezo

Ni kweli ila sio kifala kwa kiwango hicho. Labda kama alikotoka kuna umasikini sana, hivyo anaogopa akikosa hicho cheo atabaki na umasikini wa kutupwa.
 
Huyu wa sasa alikua mpuyangaji tangia enzi za mwendazake.Nafikiri aliteuliwa kwa zilezile sababu za kulindana na sasa hata baada ya kifo cha aliemteua bado anapuyanga maana hakua anakidhi vigezo.
 
Tanzania inahitaji CJ mpya,Rais mpya,VP mpya, PM mpya, Spika mpya, Bunge jipya.
Kwa ujumla Tanzania inahitaji upya mpaka kwetu sisi raia wa kawaida.
Tanzania mpya inahitajika.
 
Huyo huyo wa kuteuliwa na Mwenyekiti wa Taifa CCM? Hata angeteuliwa nani!
 
Wana-chadema wanapoona CHADEMA ni DJ wanahisi kila mfumo nchi ni mtu, mfumo mtu Tanzania ni CHADEMA na tunashukuru unaenda kufa
Chadema wanajua mbowe ndo jaji mkuu maamuzi yake hayapingwi. Nyumbu hovyo kabisa.
 
Tulipo mkosa Jaji Benard Luanda nikajua mfumo wetu wa kuamini watu wa kusimamia haki kwa hakika ni sanaa tu.

Toka kipindi cha Jakaya, huyu Jaji alikuwa anakwepwa kama ukoma.

Ni vile hakuwa mtu wa kupindisha pindisha mambo.

Ukipewa dhamana itendee vema hata kama watakubadirisha ndani ya siku. Jamii itakukumbuka.
 
Bogus professor, the so called Chief Justice. Viatu vya cheo hiko vina mpwaya sana.
 
Baraza Kuu la Chadema limegeuzwa kuwa Baraza Kuu la wanywa kahawa, maamuzi yake yamefutwa kwa dakika chache tu
No sio kirahisi hivyo. Kuna mambo lazima yatokee ili kufika pahala. Kuwa mtulivu sinema bado haijaisha
 
Mahakama ni muhimili ulio shuka hadhi sana
Tumejua hivyo kupitia hawa covid19. Msiwatukana kuna jambo letu wanatusaidia, baadae tutashukuru mchezo huu umetuvusha mto wa mamba. Kumbukeni bila wao tusingeyaona haya
 
Kila akiongelea mabadiliko ya mahakama huwa anaongolea majengo mapya yaliyojengwa!
Hata chadema mnaongelea picha ya jengo Leno la mabadiliko. Ila Hawaii wamama wanawadharau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…