Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Haya yote yamesababishwa na Jiwe na sasa huyu anapita humo humo, maelekezo yote ni wazi yanatoka kwa Dola na mcheza sinema wetu anayajua haya vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zao la jiwe!Huyo Professa does not measure up to the job!! Inawezekana mfumo wetu wa kupata Jaji mkuu hautupatii the best that we can have in the country!! Katiba mpya will have to address this process and rectify its shortcomings.
Jaji mkuu anayetokana na mfumo ana sifa zipi?... Kumbuka Prof.Juma alihudumu kama naibu wa hiyo nafasi karibu miezi 6 kabla ya kuapishwa rasmi.
Huu muhimili Uhuru wake upo kwenye karatasi tu ila kiuhalisia hauna Uhuru wowote.
JokaKuu Pascal Mayalla Nguruvi3
Bulesi Yoda
Hata ingekuwa wewe ,unasema tu Sababu uko nje ya huo mhimili,hata aje Nani lazima afate maelekezo
Mapendekezo ya Warioba Ni kuwa nafasi hiyo itangazwe wafanyiwe interview ambayo itakuwa live on air! Kila mtanzania apewa nafasi ya kutoa maoni yake Nani anafaa
Tanzania inahitaji CJ mpya,Rais mpya,VP mpya, PM mpya, Spika mpya, Bunge jipya.Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na mfumo ya sio hawa makada ambao wanachaguliwa kuwa Majaji.
Majaji wakuu waliopita walikuwa na uzoefu na hawakuruhusu mahakama kuwa sehemu ya kufichia maovu ya kisiasa. Mahakama kuu kwa ucheleweshaji wa makusudi wa kesi nyingi hasa za kisiasa badala ya kusaidia kutoa haki wamekuwa wanatumika kukandamiza haki. Yanni nina kesi bado za wabunge wa 2010-2015 hazijasikilizwa mfano rufaa ya Lissu ya kufukuzwa ubunge! tujiulize kwanini? Kuna kitu gani hasa cha kufanya kesi kama hizi za Covid 19 zitachukuwa miaka yote mpaka 2025! ? Sasa hii inaonyesha picha gani kwa wananchi kuhusu mahakama?. Tatizo ni viongozi wa hii mahakama
Chadema wanajua mbowe ndo jaji mkuu maamuzi yake hayapingwi. Nyumbu hovyo kabisa.Wana-chadema wanapoona CHADEMA ni DJ wanahisi kila mfumo nchi ni mtu, mfumo mtu Tanzania ni CHADEMA na tunashukuru unaenda kufa
You are going by the name of kinembe!Baraza Kuu la Chadema limegeuzwa kuwa Baraza Kuu la wanywa kahawa, maamuzi yake yamefutwa kwa dakika chache tu
Bogus professor, the so called Chief Justice. Viatu vya cheo hiko vina mpwaya sana.Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na kuokoa huu Muhimili muhumu kwa taifa letu. Lakini ni wakati wa kuwa na Jaji Mkuu ambaye katokana na mfumo ya sio hawa makada ambao wanachaguliwa kuwa Majaji.
Majaji wakuu waliopita walikuwa na uzoefu na hawakuruhusu mahakama kuwa sehemu ya kufichia maovu ya kisiasa. Mahakama kuu kwa ucheleweshaji wa makusudi wa kesi nyingi hasa za kisiasa badala ya kusaidia kutoa haki wamekuwa wanatumika kukandamiza haki. Yanni nina kesi bado za wabunge wa 2010-2015 hazijasikilizwa mfano rufaa ya Lissu ya kufukuzwa ubunge! tujiulize kwanini? Kuna kitu gani hasa cha kufanya kesi kama hizi za Covid 19 zitachukuwa miaka yote mpaka 2025! ? Sasa hii inaonyesha picha gani kwa wananchi kuhusu mahakama?. Tatizo ni viongozi wa hii mahakama
No sio kirahisi hivyo. Kuna mambo lazima yatokee ili kufika pahala. Kuwa mtulivu sinema bado haijaishaBaraza Kuu la Chadema limegeuzwa kuwa Baraza Kuu la wanywa kahawa, maamuzi yake yamefutwa kwa dakika chache tu
Tumejua hivyo kupitia hawa covid19. Msiwatukana kuna jambo letu wanatusaidia, baadae tutashukuru mchezo huu umetuvusha mto wa mamba. Kumbukeni bila wao tusingeyaona hayaMahakama ni muhimili ulio shuka hadhi sana
Hata chadema mnaongelea picha ya jengo Leno la mabadiliko. Ila Hawaii wamama wanawadharau sana.Kila akiongelea mabadiliko ya mahakama huwa anaongolea majengo mapya yaliyojengwa!