Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji

Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Lissu alivyo ongelea makaa ya mawe ya Rostam siku kutoka juu ikaona ni uhaini. Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji mkisubiria Chadema peke yao ingawa ni wazalendo wanazuiwa kwa mbinu zote. Ukikaa kimya maana yake umekubali hawa jamaa ndiyo wawe watawala wetu bila kuteuliwa.

Pamoja na marafiki zao wa GSM wenyewe ndiyo wanamiliki migodi, viongozi, chama, bandari, na hata Mahakama. Kibaya Raisi sasa kazungukwa na watu wao pamoja na mfanyakazi wao Mchimbi kawekwa na wenyewe

Ndugu wa Mama wajinga jinga hawajui hata yeye hawampendi mtu wao Kama Magu naye awe makini
 
GSM ni ya kikwete ukitaka kuamini siku lile jengo china plazza lilivo funguliwa kikwete alikuja kwa siri miaka yake utawala hakiwa raisi na alikuwa anakuja uwezi kujua.Sasa unga dot ya GSM na yeye na likaitwa GSM Plazza kwa nini walibadilisha.
 
Ni aibu Sana kwakweli. Rais anamwita Kikwete bosi wake mbele za wananchi huku Rostam akisaini mkataba wa kimataifa pembeni ya Rais na Wala Rostam sio Waziri kwenye serikali.
 
Back
Top Bottom