Tanzania tunahitaji marekebisho ya katiba sio katiba mpya

Tanzania tunahitaji marekebisho ya katiba sio katiba mpya

kwanza katiba haiwezi kubadilishwa yote itafanyiwa marekebisho madogo madogo tuu kwisha kazi
 
Heri mtu alewe bange ya Malawi kuliko kulewa madaraka ya Ikulu.

Hkuna mjadala wa kufanya marekebisho, watanzania wanajadili mchakato wa kuandikwa katiba mpya. Hebu mtuambie, ile katiba ya 1962, 1964 na ya 1977 zilichukuwa muda gani mpaka kuandikwa? ilighalimu kiasi gani mpaka tuweze kuilipa Dowans, Richomond, NET Group Soln, Kagoda na EPA kwa ujumla tushindwe kughalimia uandikwaji wa Katiba Mpya? Mnataka muwaelimishe watanzania wote wawe na ELIMU YA KATIBA sijui ya kiwango gani, 10 to 15 yrs?; Cert, Dip, Shahada au Uzamivu! Don't joke! Zile za zamani wananchi walikuwa wanaelimishwa wote?

TUNATAKA KATIBA MPYA VIRAKA TUTAWEKA MBELE YA SAFARI. SI KILA MTU ATAWEKA NENO LAKE MULE, WAJUZI WACHACHE TOKA MAKUNDI YOTE YA KIJAMMI WATASHIRIKI NA KUWAKILISHA WATANZANIA WOTE.
 
NCHI HII ITAKALIKA KWA HALI YOYOTE KWA KATIBA HII AU MPYA NCHI HII HAITATELEZA HATA SIKU MOJA USILETE BANGI HAPA

NIMESEMA ISSUE YA KATIBA MPYA ITACHUKUA MUDA MREFU SANA SANA MAANA HATA KATIBA YA SASA HAITOI MUONGOZO WA KUUNDWA KATIBA MPYA SASA MNAANZIA WAPI NI LAZIMA BUNGE LIFANYE MAREKEBISHO YA 15 ILI UTARATIBU WA KUUNDA KATIBA MPYA UWEKWE NDANI YA KATIBA YA SASA

MIMI NASEMA KATIKA MAREKEBISHO HAYA YA KUMI NA TANO BASI MASALA YOTE YA MUHIMU YAGUSWE,MAMLAKA YA RAISI,TUME YA UCHAGUZI ,UMILIKI WAARDHI,SWALA LA MUUNGANO,UHURU WA MAHAKAMA NA PARLIAMENTARY SUPREMACY YAANGALIWE SASA SIO KUMPA KIKWETE MUDA WA KUANDAA TUME MIAKA MITANO,TUME KULETA MAPENDEKEZO MIAKA KUMI MAPENDEKEZO YANAKATALIWA UPUUUZI MTUPU

TUFANYE MAREKEBISHO MUHIMU NDIO MCHAKATO WA KATIBA MPYA UENDELEE

tuwe wavumilivu

Unamaanisha katiba kama mali ya wananchi au ya Rais?. Urefu wa katiba kuundwa unamaanisha kama miaka mingapi?. Umetumwa??
 
Unamaanisha katiba kama mali ya wananchi au ya Rais?. Urefu wa katiba kuundwa unamaanisha kama miaka mingapi?. Umetumwa??

Hajatumwa ametoa mawazo yake mazuri sana na mimi nakubaliana nae ni kweli Kikwete akiachiwa kuunda Tume ya Katiba ,tusitegemee Katiba kabla ya miaka kumi,maana Tume itachukua mawazo ya WATZ kwa miaka minne then watapeleka kwa Kikwete atayakataa yote wataunda tuimne nyingine na yo itakataliwa jambo litarudi Bungeni warekebishe katiba halafu ndio tuanze upya 2030;;
 
TUACHE KUBISHANA HEBU TUSOME KATIBA NDIPO TUTAKUWA NA MJADALA MZURI
naambatanisha sura kumi za katiba iliyopo sasa ili iwe kionjo cha kusoma katiba (sina hakika na sheria za copyright - mniwie radhi - hii imechapwa na mpiga chapa wa serikali). hii itasaidia kupata picha ya katiba tunayooongelea.
Kuna thread wamebandika katiba nzima ni vizuri watu wadownload na wasome


SURA YA KWANZA
JAMHURI YA MUUNGANO, VYAMA VYA SIASA, WATU NA SIASA YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA
SEHEMU YA KWANZA
JAMHURI YA MUUNGANO NA WATU
1. Kutangaza Jamhuri ya Muungano.
2. Eneo la Jamhuri ya Muungano.
3. Tangazo la nchi yenye mfumo wa Vyama Vingi.
4. Utekelezaji wa shughuli za Mamlaka ya Nchi.
5. Haki ya kupiga kura.
SEHEMU YA PILI
MALENGO MUHIMU NA MISINGI YA MWELEKEO WA SHUGHULI ZA SERIKALI
6. Ufafanuzi.
7. Matumizi ya Masharti ya Sehemu ya Pili.
8. Serikali na Watu.
9. Ujenzi wa Ujamaa na Kujitegemea.
10. [Imefutwa na Sheri Na. ……… ibara ya ……..].
11. Haki ya kufanya kazi, kupata elimu, na nyinginezo.
SEHEMU YA TATU
HAKI NA WAJIBU MUHIMU
Haki ya Usawa
12. Usawa wa Binadamu.
13. Usawa mbele ya sheria.
Haki ya Kuishi
14. Haki ya kuwa hai.
15. Haki ya uhuru wa mtu binafsi.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
3
16. Haki ya faragha na ya usalama wa mtu.
17. Uhuru wa mtu kwenda atakako.
Haki ya Uhuru wa Mawazo
18. Uhuru wa maoni.
19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo.
20. Uhuru wa mtu kushirikiana na wengine.
21. Uhuru wa kushiriki shughuli za umma.
Haki ya Kufanya Kazi
22. Haki ya kufanya kazi.
23. Haki ya kumiliki mali.
24. Haki ya kupata ujira wa haki.
Wajibu wa Jamii
25. Wajibu wa kushiriki kazini.
26. Wajibu wa kutii sheria za nchi.
27. Kulinda mali ya Umma.
28. Ulinzi wa taifa.
Masharti ya Jumla
29. Haki na wajibu muhimu.
30. Mipaka kwa haki, uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu.
Madaraka ya Pekee ya Mamlaka ya Nchi
31. Ukiukaji wa Haki na uhuru.
32. Madaraka ya kutangaza hali ya hatari.
SURA YA PILI
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
RAIS
33. Rais wa Jamhuri ya Muungano.
34. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake.
35. Utekelezaji wa shughuli za Serikali.
36. Mamlaka ya kuanzisha na kuwateua watu wa kushika nafasi za madaraka.
37. Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais n.k.
38. Uchaguzi wa Rais.
39. Sifa za mtu kuchaguliwa kuwa Rais.
40. Haki ya kuchaguliwa tena.
41. Utaratibu wa uchaguzi wa Rais.
42. Wakati na muda wa kushika madaraka ya Rais.
43. Masharti ya kazi ya Rais.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
4
44. Madaraka ya kutangaza vita.
45. Uwezo wa kutoa msamaha.
46. Kinga dhidi ya mashtaka na madai.
46A. Bunge laweza kumshtaki Rais.
46B. Wajibu wa viongozi Wakuu wa vyombo vya Mamlaka ya Utendaji kudumisha Muungano.
SEHEMU YA PILI
MAKAMU WA RAIS
47. Makamu mmoja wa Rais, kazi na Mamlaka yake.
48. Wakati wa Makamu wa Rais kushika madaraka.
49. Kiapo cha Makamu wa Rais.
50. Muda wa Makamu wa Rais kushika Madaraka.
SEHEMU YA TATU
WAZIRI MKUU, BARAZA LA MAWAZIRI NA SERIKALI
51. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano.
52. Kazi na Mamlaka ya Waziri Mkuu.
53. Uwajibikaji wa serikali.
Baraza la Mawaziri na Serikali
53A. Kura ya kutokuwa na imani.
54. Baraza la Mawaziri.
55. Uteuzi wa Mawaziri.
56. Kiapo cha Mawaziri na Naibu Mawaziri.
57. Wakati na muda wa Mawaziri kushika madaraka.
58. Masharti ya kazi ya Mawaziri.
59. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
60. Katibu wa Baraza la Mawa ziri.
61. Wakuu wa Mikoa.
SURA YA TATU
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
BUNGE
62. Bunge.
63. Madaraka ya Bunge.
64. Madaraka ya kutunga Sheria.
65. Muda wa Bunge.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
5
SEHEMU YA PILI
WABUNGE, WILAYA ZA UCHAGUZI NA UCHAGUZI WA WABUNGE
66. Wabunge.
67. Sifa za mtu kuwa Mbunge.
68. Kiapo cha Wabunge.
69. Tamko rasmi la Wabunge kuhusu maadili ya Viongozi.
70. Wabunge kutoa taarifa ya mali.
71. Muda wa Wabunge kushika madaraka kama Wabunge.
72. Watu wenye madaraka Serikalini kukoma utumishi wanapochaguliwa.
73. Masharti ya kazi ya Wabunge
74. Tume ya Uchaguzi
75. Majimbo ya Uchaguzi.
Uchaguzi na Uteuzi wa Wabunge
76. Uchaguzi katika Majimbo ya Uchaguzi.
77. Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge wa Majimbo ya Uchaguzi.
78. Utaratibu wa Uchaguzi wa Wabunge Wanawake wa kuchaguliwa na Bunge.
79. Utaratibu wa uchaguzi wa Wabunge wa kuchaguliwa na Baraza la Wawakilishi.
80. [Imefutwa na Sheria Na.4 ya 1992 - ib.27].
81. Utaratibu wa kupendekeza majina ya wagombea uchaguzi wa Wabunge Wanawake.
82. [Imefutwa na Sheria Na.4 ya 1992 - ib.29].
83. Uamuzi wa suala kama mtu ni Mbunge au sivyo.
SEHEMU YA TATU
UTARATIBU, MADARAKA NA HAKI ZA BUNGE
Spika na Naibu wa spika
84. Spika na Mamlaka yake.
85. Naibu wa Spika.
86. Utaratibu wa kumchagu Spika na Naibu wa Spika.
Ofisi ya Bunge
87. Katibu wa Bunge.
88. Sekretariati ya Bunge.
Utaratibu wa shughuli Bungeni
89. Kanuni za Kudumu za Bunge.
90. Kuitishwa kwa mikutano ya Bunge na kuvunjwa kwa Bunge.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
6
91. Rais aweza kulihutubia Bunge.
92. Mikutano ya Bunge.
93. Uongozi wa vikao vya Bunge.
94. Kiwango cha vikao vya Bunge
95. Viti vilivyo wazi katika Bunge.
96. Kamati za Kudumu za Bunge.
Utaratibu wa Kutunga Sheria
97. Namna ya kutumia madaraka ya kutunga sheria.
98. Utaratibu wa kubadilisha Katiba hii na baadhi ya sheria.
99. Utaratibu wa kutunga Sheria kuhusu mambo ya fedha.
Madaraka na Haki za Bunge
100. Uhuru wa majadiliano na utaratibu wa shughuli.
101. Kuhifadhi na kutilia ng uvu uhuru wa majadiliano na wa shughuli.
SURA YA NNE
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR,
BARAZA LA MAPINDUZI LA ZANZIBAR NA
BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
SEHEMU YA KWANZA
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
NA RAIS WA ZANZIBAR
102. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mamlaka yake.
103. Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na madaraka yake.
104. Uchaguzi wa Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
SEHEMU YA PILI
BARAZA LA MAPINDUZI LA ZANZIBAR
105. Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na Kazi zake.
SEHEMU YA TATU
BARAZA LA WAWAKILISHI LA ZANZIBAR
106. Baraza la Wawakilishi la Zanzibar na madaraka ya kutunga Sheria za Zanzibar.
107. Madaraka ya Baraza la Wawakilishi.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
7
SURA YA TANO
UTOAJI HAKI KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO,
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO, TUME
YA KUAJIRI YA MAHAKAMA YA TANZANIA BARA,
MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR, MAHAKAMA
YA RUFANI YA JAMHURI YA MUUNGANO NA
MAHAKAMA MAALUM YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
UTOAJI HAKI KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO
107A. Mamlaka ya Utoaji Haki.
107B. Uhuru wa Mahakama.
SEHEMU YA PILI
MAHAKAMA KUU YA JAMHURI YA MUUNGANO
108. Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano na Mamlaka yake.
109. Majaji wa Mahakama Kuu na uteuzi wao.
110. Muda wa Majaji wa Mahakama Kuu kushika madaraka.
111. Kiapo cha Majaji.
SEHEMU YA TATU
MADARAKA YA KUAJIRI MAHAKIMU NA WATUMISHI
WENGINE WA MAHAKAMA ZA TANZANIA BARA NA TUME YA
KUAJIRI YA MAHAKAMA
112. Tume ya Kuajiri ya Mahakama.
113. Madaraka ya kuajiri Mahakimu na watumishi wengine wa Mahakama.
113A. Uanachama katika Vyama vya Siasa.
SEHEMU YA NNE
MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR
114. Mahakama Kuu ya Zanzibar.
115. Mamlaka ya Mahakama Kuu ya Zanzibar.
SEHEMU YA TANO
MAHAKAMA YA RUFANI YA JAMHURI YA MUUNGANO
116. Tafsiri.
117. Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano na Madaraka yake.
118. Majaji wa Mahakama ya Rufani na uteuzi wao.
119. Mamlaka ya Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
8
120. Muda wa Majaji wa Mahakama ya Rufani kushika madaraka.
121. Kiapo cha Majaji wa Mahakama ya Rufani.
122. Kiwango cha vikao vya Mahakama ya Rufani.
123. Mashauri yanayoweza kuamuliwa na Jaji mmoja wa Mahakama ya Rufani.
SEHEMU YA SITA
UTARATIBU WA KUPELEKA HATI ZA KUTEKELEZA
MAAGIZO YALIYOMO KATIKA HATI ZILIZOTOLEWA
NA MAHAKAMA
124. Utekelezaji wa maagizo ya Mahakama utafanywa nchini Tanzania kote.
SEHEMU YA SABA
MAHAKAMA MAALUM YA KATIBA
YA JAMHURI YA MUUNGANO
125. Mahakama Maalum ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano.
126. Mamlaka ya Mahakama Maalum ya Katiba
127. Muundo wa Mahakama Maalum ya Katiba
128. Utaratibu katika vikao vya Mahakama Maalum ya Katiba.
SURA YA SITA
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
NA SEKRETARIET YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
SEHEMU YA KWANZA
TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA
129. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
130. Majukumu ya Tume na Taratibu za Utekelezaji.
131. Mamlaka ya Tume na utaratibu wa shughuli zake.
SEHEMU YA PILI
SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
132. Sekretarieti ya Maadili.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
9
SURA YA SABA
MASHARTI KUHUSU MCHANGO WA SERIKALI NA MAMBO
MENGINEYO YA FEDHA ZINAZOINGIA KATIKA HAZINA YA
SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO
SEHEMU YA KWANZA
MCHANGO NA MGAWANYO WA MAPATO YA
JAMHURI YA MUUNGANO
133. Akaunti ya Fedha ya Pamoja.
134. Tume ya Pamoja ya Fedha.
SEHEMU YA PILI
MFUKO MKUU WA HAZINA NA FEDHA
ZA JAMHURI YA MUUNGANO
135. Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
136. Masharti ya kutoa fedha za matumizi kutoka Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali.
137. Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha zilizomo katika Mfuko Mkuu wa Hazina ya Serikali.
138. Masharti ya kutoza kodi.
139. Utaratibu wa kuidhinisha matumizi ya fedha kabla ya sheria ya matumizi kuanza kutumika.
141. Mfuko wa Matumizi ya dharura.
142. Deni la Taifa.
142. Mishahara ya watumishi fulani wa Serikali kudhaminiwa na Mfuko Mkuu Wa Hazina ya Serikali.
143. Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa Jamhuri ya Muungano.
144. Kumwondoa kazini Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu.
SURA YA NANE
MADARAKA YA UMMA
145. Serikali za Mitaa.
146. Kazi za Serikali za Mitaa.
SURA YA TISA
MAJESHI YA ULINZI
146. Marufuku kuunda majeshi ya ulinzi yasiyo majeshi ya ulinzi ya Umma.
148. Madaraka ya Amiri Jeshi Mkuu.
SURA YA KUMI
MENGINEYO
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
_________________________________________________________________
10
149. Maelezo ya mambo yanayohusika na madaraka ya kazi mbalimbali zilizoanzishwa na Katiba hii.
150. Maelezo kuhusu utaratibu wa kukabidhi madaraka ya kazi katika Utumishi wa Serikali.
152. Ufafanuzi.
152. Jina kamili la Katiba, tarehe ya kuanza kutumika na
NYONGEZA YA KWANZA
NYONGEZA YA PILI
 
Mnaotaka kubandika viraka kwenye katiba nadhani huna Moyo wa kizalendo. Ndiyo ninyi mnaotetea ufisadi.
 
Mnaotaka kubandika viraka kwenye katiba nadhani huna Moyo wa kizalendo. Ndiyo ninyi mnaotetea ufisadi.


VIRAKA NI MUHIMU KUIENDEA KATIBA MPYA BILA KIRAKA CHA 15 HATUWEZI KUWA NA KATIBA mpya
 
NAAMINI TUNACHOHITAJI NA MAREKEBISHO YA KATIBA NA SIO KATIBA MPYA KAMA WANASIASA HASA WA UPINZANI WANAVYOSEMA NA KUSHIKIA BANGO

SIAMINI KAMA WATANZANIA WAMEANDALIWA VYA KUTOSHA KUHUSU MABORESHO AU MABADILIKO YA KATIBA

NAAMINI TUNAHITAJI MIAKA KUMI AU KUMI NA TANO KUWAELIMISHA WATANZANIA KWANZA KUHUSU KATIBA ILIYOPO SASA AMBAYO MNAIITA YA ZAMANI HALAFU KUWAELIMISHA JUU YA MCHAKATO WA KUIPATA KATIBA MPYA ,HALAFU MCHAKATO WA HIYO KATIBA MPYA UANZE INAWEZA KWENDA MIAKA ISHIRINI

SERIKALI YA CCM IKO TAYARI KUFANYA MAREKEBISHO KWENYE KATIBA NA HILI KWANGU NDIO LA MUHIMU SANA NAFIKIRI MAREKEBISHO KAMA YA TUME YA UCHAGUZI,MAMLAKA YA RAISI YANGEFANYIKA HARAKA KABLA YA KUSUBIRI HIYO MIAKA MINGI YA KUANDAA KATIBA MPYA

WATANZANIA LAZIMA TUKUBALI MABADILIKO YA KUMI NA TANO YA KATIBA NA TUACHANE NA AJENDA YA KATIBA MPYA KWANI HII ITACHUKUA MUDA MREFU NA ITAHITAJI FEDHA NYINGI SANA SERIKALI HAIKO TAYARI KWA HILO,MAREKEBISHO YA MAMBO MUHIMU KAMA ILIVYOFANYIKA ZANZIBAR ITATUSAIDIA KULIKO KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA AMBAO UTACHUKUA MIAKA MINGI

KWANI HATA UKIANGALIA KATIBA YA SASA HAINA ARTICLE INAYOZUNGUMZIA JINSI YA KUTUNGA KATIBA MPYA HILO NALO TUNAHITAJI LIFANYIKE kWANZA NA NDIO WATANZANIA TUJUE PA KUANZIA

TUWE WAVUMILIVU MAMBO MAZURI TARATIBU

Laiti kama unaweza kufikria mbali zaidi ya hapo utagundua kwa nini watbzania tunahitaji katiba mpya!
unaposema huamini kama watanzania wameandaliwa vya kutosha kuhusu mabadiliko ya katba unamaanisha nini? kwani wakati hii iliyopo watanzania waliandaliwa kivipi, wapi, na nani aliwaandaa?

Jaribu kusumbua akiri yako butu unaweza kupata majibu mwafaka!
 
Laiti kama unaweza kufikria mbali zaidi ya hapo utagundua kwa nini watbzania tunahitaji katiba mpya!
unaposema huamini kama watanzania wameandaliwa vya kutosha kuhusu mabadiliko ya katba unamaanisha nini? kwani wakati hii iliyopo watanzania waliandaliwa kivipi, wapi, na nani aliwaandaa?

Jaribu kusumbua akiri yako butu unaweza kupata majibu mwafaka!

Hapo kwenye bluu panaonyesha kati yangu na wewe nani mwenye akili BUTU
 
NAAMINI HALI INAVYOENDELEA SASA KUPATA KATIBA MPYA NI MPAKA 2030 MAANA JK NA CCM YAKE WAMESHAIKUMBATIA HIII AJENDA NA SISIS TUTAPIGA KELELE TUU,SASA KAZI KWETU NI BORA TUNGEPELEKA BUNGENI OMBI LA MAREKEBISHO YA 15 YA KATIBA KULIKO ILIVYO SASA AMBAPO JK ANASEMA ATAUNDA TUME POLENI SANA wadanganyika
 
sasa tuunganishe nguvu zetu tumchague Freeman Aikaeli Mbowe 2015 ili atuletee katiba mpya ya kweli otherwise tusahau,serikali ya ccm haiko tayari kutengeneze katiba mpya JK NI DIKTETA
 
Tunahitaji serikali tatu au tuuvunje muungano kwa sababu zanzbar unatukandamiza,kwahiyo ikiwa kweli nyie ni waungwana na na munataka muungano udumu basi leteni hoja ya serikali tatu,nafikiri ipo njiani tanganyika.
Tanganyika was an East African territory lying between the Indian Ocean and the largest of the African great lakes: Lake Victoria, Lake Malawi and Lake Tanganyika. From 9 December 1961 to 26 April 1964 it was also an independent state.
Once part of the colony of German East Africa (German: Deutsch-Ostafrika), it comprised today's Rwanda, Burundi, and Tanzania with the exclusion of Zanzibar.

After World War I the parts that are today's Rwanda and Burundi became a League of Nations mandate governed by Belgium. The major part, however, came under British military rule and was transferred to Britain under the 1919 Treaty of Versailles.

This was confirmed by a League of Nations Mandate in 1922, later becoming a United Nations Trust Territory. Britain changed the name to the Tanganyika Territory.

On 9 December 1961 Tanganyika became independent as a Commonwealth Realm, and on 9 December 1962 it became the Republic of Tanganyika within the Commonwealth of Nations.

In 1964, it joined with the islands of Zanzibar to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar, later in the year changed to the United Republic of Tanzania.

Although Tanganyika still exists within Tanzania, the name is no longer used formally for the territory.

This pAge is about Tanganyika rebirth and find her soul, her people and culture and come back to life.

TANGANYIKA IS REBORN
 
Katiba ya Tanganyika:
Ibara ya kwanza: Taifa na mipaka yake
Tanganyika ni nchi huru yenye aridhi inayopakana na bahari ya hindi, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Kongo, Zambia, Malawi na Msumbiji.

Ibara ya Pili: Mihimili ya dola
Bunge
Serikali
Mahakama

Ibara ya Tatu: Bunge

Ibara ya Nne: Serikali na vyombo vya Dola

Ibara ya Tano: Mahakama

Ibara ya Sita: Haki na wajibu wa wananchi

Ibara ya saba: Ulinzi na Usalama

Ibara ya nane: Sera ya taifa
 
nakubaliana na mtoa mada KATIBA MPYA ITALETA FUJO NCHINI
 
Back
Top Bottom