waubani
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 542
- 211
Hiyo currency denomination na mchanganuo wa unit mojamoja za fedha yetu ni lazima uendane na uhalisia wa inflation rate.Hatujafikiwa na athari za kuchapisha noti ya laki moja kisa tuu ni kurahisicha portability ya fedha kwenye pochi au mifuko yetu.Denomination au unit za fedha zetu zinaendana na thamani ya bidhaa/huduma zetu zilivyo ktk masoko mbalimbali.
KWANZA PIA KIUCHUMI! kuhifadhi pesa tuu kwenye pochi ni kudidimiza uchumi.usiponunua bidhaa au huduma, maanayake unadidimiza soko, soko likiporomoka unaua viwanda, then utaathiri ajira na kodi serikalini.Ni bora kuinvest au ku save bank (zitatumika kuopesha na kuendesha miradi) .Ndio maana mataifa mengi yanatumia Electronic card (Drbt/credt card) na electronic cash machine.Hupunguza mifoleni isiyo ya lazima banki, usalama wa kuibiwa.Suala la kubeba mifurushi ya pesa limeshapitwa na wakati.Duniani kote hivi sasa kila kitu kinafanywa na kadi tuu technolojia imeruhusu na kurahisisha hilo.
Ifaamike pia Money supply nilazima ibalance na Money demand kwenye uchumi.Pesa zikiwa nyingi kwenye mzunguko kuzidi upatikanaji bidhaaa huleta mifumuko ya bei.Ukichukulia TZ ni nchi tunazalisha kidogo kuliko mahitaji (mapungufu ya viwanda vya ndani). bidhaa nyingi tunaagiza kutoka nje kwa kutumia dola,husababisha mahitaji ya dolla kuwa makubwa na kupelekea bei ya $ kuwa juu na kuathiri shillingi yetu(refer law of demand).Sote tunajua Import ikizidi Export inaathiri pia Balance of payment(BOP)
Kama nchi itaweza kutumia vizuri Monentary policy, Fiscal policy, Kukontrol Goverment expenditure, Control unemployement rate (MACRO ECONOMY) .Upo uwezekano mkubwa wa kufanikiwa ku stabilize shillingi (control inflation) yetu na kueepuka hayo mambo ya kuchapisha noti za laki au milioni etc Kwasababu uchapishaji wa single unit za noti/coin zenye thamani kubwa ni matokeo mabaya yanayoletwa na Mfumuko wa bei mkubwa zaid more than 2 digit (HyperInflation)