PETU,
Falsafa yako ni kali.
Tutafika lini?
Ni ngumu kama ngamia kupenya katika tundu la sindano.
Yawezekana! Uhuru wa nchi hii hakuja kwa watu wote kwa pamoja kuamini kwamba tunaweza kujikomboa! ulianza na tamaa ya watu wachache kutamani kuwa sawa! Tamaa ya watu wachache kuhisi wanaweza kujiongoza! Ulikuwa ni uchu wa usawa ulitupeleka kwenye mapambanao ya kudai uhuru.
Kwahii leo hatuhitaji watu wote watamani kuishi uhuru wao, ila wale wachache walio na imani juu ya uhuru na kuelewa kwamba uhuru wetu utaweza kudumu pale tu ambapo wenye tamaa ya uhuru huu hawatakata tamaa kuukuza na kuendeleza.