The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sasa hata Burundi, japo mtandao wao wa barabara ni mdogo lakini barabara zilizopo ni nzuri kweli, hata nyumba zao...qualityKazi iendelee!
Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi.
Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa na Vinchi masikio kama Rwanda na Uganda?
Lazima kuna tatizo mahala maana haiwezekani kila kitu cha kutumia akili zetu sisi ni WA mwisho isipokuwa vitu vilivyowekwa na nature tuu.
Wakati tunajipiga kifua kwenye flyovers na madaraja ya suspension bridge kama la Kigongo-Busisi ,huko Jinja Uganda vipo siku nyingi Sana.
View attachment 2086670
View attachment 2086671
View attachment 2086672
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu waoSasa hata Burundi, japo mtandao wao wa barabara ni mdogo lakini barabara zao zile zilizopo nzuri kweli, hata nyumba zao...quality
Nchi hii iliharibiwa na "zidumu fikra za mwenyekiti"...katika mambo Mzee wetu Nyerere alifeli ni vile kutaka sifa kama Jiwe
Hii Nchi yetu ina watu tuna midomo Sana ila matumizi ya akili na vitendo ni hamna kabisa.Sasa hata Burundi, japo mtandao wao wa barabara ni mdogo lakini barabara zao zile zilizopo nzuri kweli, hata nyumba zao...quality
Nchi hii iliharibiwa na "zidumu fikra za mwenyekiti"...katika mambo Mzee wetu Nyerere alifeli ni vile kutaka sifa kama Jiwe
Senegal unaisikia mitandaoni tuu ila hakuna kitu tumewazidi .Hadi senegal imetushinda? Huu ni uwongo!
Safiri uone boss, au nenda hapo Rwanda tuu labda utatia akili kidogoHadi senegal imetushinda? Huu ni uwongo!
Mwambie akipata barabara kama hizi hapo Dar anitag 😁😁.Safiri uone boss, au nenda hapo Rwanda tuu labda utatia akili kidogo
Sisi hata Barabara za kawaida tu zinadumu kwa mwaka mmoja, na zinazinduliwa kwa mbwembwe na kulazimisha watu waache kazi zao na kukusanyika kushangiliaSenegal unaisikia mitandaoni tuu ila hakuna kitu tumewazidi .
Kwenye Barabara wako mbali sana yaani hata Bukina faso hatuwagusi.
Hivi huoni aibu eti miaka hii ndio tunahangaika na fly over na barabara ya njia Sita wakati hapo Uganda zipo kitambo tuu? Huko Senegal ndio usiseme.
Uko sahihi mkuuHii Nchi yetu ina watu tuna midomo Sana ila matumizi ya akili na vitendo ni hamna kabisa.
Hizo Nchi ukiacha udogo wao zimekuwa na matatizo ya kiusalama kiaka na miaka sisi tuna Amani lakini hakuna cha maana tumefanya.
Sisi tumeishia kuijenga ccm na kuimarisha ulinzi na convoy ya rais.Si tuliambiwa jiwe kaijenga Tz imekuwa kama ulaya?
Ni kweli mkuu afu hata hazivutii,zinalipuliwa yaani hazina viwango sijui hii Nchi ina shida gani kiukweli.Sisi hata Barabara za kawaida tu zinadumu kwa mwaka mmoja, na zinazinduliwa kwa mbwembwe na kulazimisha watu waache kazi zao na kukusanyika kushangilia