Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

Umeelezea vema,tunaishi nchi ya sifia sifia tu,wataalaam wetu wote wameokotwa jalalani,kituko cha RPC Dodoma eti ataanza to escort buses zinapoingia mkoani kwake!ni kichekesho kitupu,we need to be serious hapa hii T1 ni uchafu mtupu hasa Mbeya to Tunduma,Dar to Mikumi ,hii barabara inabidi tuijenge upya sio kuitia viraka!life span ya barabara hii imeshapitwa na wakati,hii barabara imejengwa Nyerere era,inabidi tuipanue hasa pale Mikumi National park ikiwa ni pamoja na kusafisha vichaka vyote 20m both sides (faida yake tutapunguza wanyama wadogo kuwa maeneo karibu na barabara),Kitonga Pass tuweke njia mbili pale,Chimala to Mbeya papanuliwe na njia hii ichepushwe isipite katikati ya Mbeya.Natamani waziri wangu wa mawasiliano afanye utalii wa kikazi kwa barabara,aanzie N1 from Beitbridge to cape town,then N7 from Cape town to Namibia border,pale achukue B1 to windhoek,then aruke kwa ndege to Gaborone pale akamate A1,A2 na A3 towards kazungula,definitely akirudi Dar ataona tofauti kubwa kati yao na sisi.
Mawazo ya kujenga haya. Hii mitandao ingekuwa inatumika kushauriana hivi tungekuwa mbali sana. Nakushukuru sana mleta uzi.
Binafsi mapendekezo yangu ni mawili:
1.Makusudio ya awali ya kuanzishwa TANROADS yazingatiwe na uendeshaji wake pia uwe katika kiwango cha kimataifa, tusirudi tena kwenye kuiendesha kisiasa. Huu ndio ugonjwa mkubwa wa nchi yetu kwa institution kadhaa ambazo ni nyeti kwa maendeleo yetu: proper governance.
2. Tuwakodi na kuwapa tenda mabingwa wa ku design miondombinu, Wachina, watusaidie kupendekeza namna ya kufupisha na kukiweka sawa kipande kile cha maili 8 cha Mlima Kitonga. Likitokea tatizo pale njia mbadala kutoka Kusini Nyanda za Juu, Malawi, Zambia na sehemu ya DRC kuja bandarini Dar ni kuzunguka kupitia Dodoma ambako tena unakutana na mtihani mwingine wa mlima Nyang'oro! Wajapan hawakutengeneza Kitonga kwa ajili ya miaka mingi ijayo. Tusahihishe hizo maili 8 tu!
 
Bongo upgaj mwing unaweza kutw mkandarasi akaandaa mchoro mzuri wa barabara pamoja viwango bora kabsa bt. Tunayemwamini kuwa ndo injinia wetu atasaidia kusimamia mradi yeye ndo anakuwa wa kwanza kuiba pesa na kumwambia mkandarasi apunguze ubora
 
Umeelezea vema,tunaishi nchi ya sifia sifia tu,wataalaam wetu wote wameokotwa jalalani,kituko cha RPC Dodoma eti ataanza to escort buses zinapoingia mkoani kwake!ni kichekesho kitupu,we need to be serious hapa hii T1 ni uchafu mtupu hasa Mbeya to Tunduma,Dar to Mikumi ,hii barabara inabidi tuijenge upya sio kuitia viraka!life span ya barabara hii imeshapitwa na wakati,hii barabara imejengwa Nyerere era,inabidi tuipanue hasa pale Mikumi National park ikiwa ni pamoja na kusafisha vichaka vyote 20m both sides (faida yake tutapunguza wanyama wadogo kuwa maeneo karibu na barabara),Kitonga Pass tuweke njia mbili pale,Chimala to Mbeya papanuliwe na njia hii ichepushwe isipite katikati ya Mbeya.Natamani waziri wangu wa mawasiliano afanye utalii wa kikazi kwa barabara,aanzie N1 from Beitbridge to cape town,then N7 from Cape town to Namibia border,pale achukue B1 to windhoek,then aruke kwa ndege to Gaborone pale akamate A1,A2 na A3 towards kazungula,definitely akirudi Dar ataona tofauti kubwa kati yao na sisi.
Umeongea ponti Sana mkuu,Inasikitisha na kutia hasira mkuu wangu.
 
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Kujitetea nchi ni kubwa(kieneo) ni excuse ya kipumbavu(ashakhum si matusi) sana, inashindikana vipi kutumia ukubwa wa nchi kuwa advantage na si kuwa disadvantage.
 
Barabara ya njia nane kuanzia Kimala .... Hora!. Nimeangalia clip moja ya kiuchunguzi kuhusu utendaji wa TAZARA, kuanzia Dar es salaam mpaka Kapirimposhi kwenda na kurudi ... ni Majanga, utafikiri bado tuko miaka ya 1960/70!.... Funga kazi ni mahojiano yaliyofanyika makao makuu ya TAZARA .. Dar es salaam. Tukubali tu kuwa tulipewa uhuru kwa haraka wakati hatuna uwezo wa kujisimamia wenyewe.😢
😭 Hivi viongozi wetu hawajaona Nairobi inavyojengewa miundombinu ya maana hivi sasa angalau wajifunze?😤
 
Si tuliambiwa jiwe kaijenga Tz imekuwa kama ulaya?
Tunasikia Dom ndio kama Ulaya mkuu 😄😄

Screenshot_20220117-081231.png

Screenshot_20220117-081219.png
 
hakuna lolote hapo, nchi za kiafrika hizi hizi et namibia 23 kidunia? labda kama kuna vigezo walivyo viweka na hivyo vigezo tungeviomba tuvione... ili tuangalie nchi kama USA, EU yote, Dubai, Qatar kwenye kombe la dunia, oman, kuwait, japan, china, S.korea, Malyasia, Singapore, Indonesia, Canada... ili tujue imefikaje 23? kwa kukopa? misaada? nk...

ili tujitafakali vizuri...
Inaonyesha dhahiri shahiri haujawahi kufika Namibia, ukifika na kama umetembea nchi nyingi duniani hautashangaa rank iliyopo.
 
afrika ukiondoa nchi za waarabu, zilizo chini ya jangwa la sahara ukiondoa SA, zilizo bakia zote hazina tofauti...
 
Mawazo ya kujenga haya. Hii mitandao ingekuwa inatumika kushauriana hivi tungekuwa mbali sana. Nakushukuru sana mleta uzi.
Binafsi mapendekezo yangu ni mawili:
1.Makusudio ya awali ya kuanzishwa TANROADS yazingatiwe na uendeshaji wake pia uwe katika kiwango cha kimataifa, tusirudi tena kwenye kuiendesha kisiasa. Huu ndio ugonjwa mkubwa wa nchi yetu kwa institution kadhaa ambazo ni nyeti kwa maendeleo yetu: proper governance.
2. Tuwakodi na kuwapa tenda mabingwa wa ku design miondombinu, Wachina, watusaidie kupendekeza namna ya kufupisha na kukiweka sawa kipande kile cha maili 8 cha Mlima Kitonga. Likitokea tatizo pale njia mbadala kutoka Kusini Nyanda za Juu, Malawi, Zambia na sehemu ya DRC kuja bandarini Dar ni kuzunguka kupitia Dodoma ambako tena unakutana na mtihani mwingine wa mlima Nyang'oro! Wajapan hawakutengeneza Kitonga kwa ajili ya miaka mingi ijayo. Tusahihishe hizo maili 8 tu!
Sawa kabisa mkuu ile Kitonga Pass ni LAZIMA iwe njia mbili na waweke Arrestor hasa kwa heavy duty vehicles zinapopata matatizo ya break
 
Watanzania ni wanafiki tu, Magufuli alikuja na kujenga miundombinu, mpaka kapewa majina kibao eti ni alikuwa anastahili kuwa nyampala wa Barabara,eti watu awali lami,na kejeli kibao,kabomoa Mbezi-Kimala kujenga njia nane, maneno aliyotukanwa nafikiri Ndio yaliyomwondoa duniani,hizo nchi hazikufika hapo kwa maneno matamu tu,yalifunga mkanda kweli kweli
 
Unafiki unafiki mara hatuli barabara mara maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kujenga barabara ni kuvunjia watu makazi yao bila fidia? Acha ujinga.
 
Hzi ndizo siasa zinazotufanya tusisonge mbele sitaki nataka. Kwa upande wa Barabara kusema ukweli Mwamba alijitahidi sana kusimamia akiwa waziri wa usafirishaji na mawasiliano toka enzi za Mkapa mpaka kipindi chake hata kama kulikuwa na upigaji . Tanzania ilikuwa hovyo sana kwenye upande wa miundondombinu ya barabara at least kwa sasa angalau kila mkoa kuna barabara za lami (highway). Ngoja tuone hawa akina Mbarawa wanatufikisha wapi kwenye miundombinu.
 
Umeelezea vema,tunaishi nchi ya sifia sifia tu,wataalaam wetu wote wameokotwa jalalani,kituko cha RPC Dodoma eti ataanza to escort buses zinapoingia mkoani kwake!ni kichekesho kitupu,we need to be serious hapa hii T1 ni uchafu mtupu hasa Mbeya to Tunduma,Dar to Mikumi ,hii barabara inabidi tuijenge upya sio kuitia viraka!life span ya barabara hii imeshapitwa na wakati,hii barabara imejengwa Nyerere era,inabidi tuipanue hasa pale Mikumi National park ikiwa ni pamoja na kusafisha vichaka vyote 20m both sides (faida yake tutapunguza wanyama wadogo kuwa maeneo karibu na barabara),Kitonga Pass tuweke njia mbili pale,Chimala to Mbeya papanuliwe na njia hii ichepushwe isipite katikati ya Mbeya.Natamani waziri wangu wa mawasiliano afanye utalii wa kikazi kwa barabara,aanzie N1 from Beitbridge to cape town,then N7 from Cape town to Namibia border,pale achukue B1 to windhoek,then aruke kwa ndege to Gaborone pale akamate A1,A2 na A3 towards kazungula,definitely akirudi Dar ataona tofauti kubwa kati yao na sisi.

Umenikumbusha kazungula huko bongo kazi kusifia ujinga na exposure ndogo ya viongozi inachangia
 
Kama chama kinachojinasbu kuwa cha Demokrasia na Maendeleo hakina chochote cha kutuonyesha kwenye hayo maeneo, hivi kweli unategemea nini?
Demokrasia na maendeleo vya porojo midomoni tu!
 
Kwani kujenga barabara ni kuvunjia watu makazi yao bila fidia? Acha ujinga.
Fidia ya nini Wakati mnataka maendeleo?alafu watu wenyewe walikuwa ndani ya barabara.tafuta sheria za tan load ujisomee uhone ujenzi wa nyumba unakupaswa kuwa mita ngapi kutoka barabarani, Magufuli alikuja kufundisha jinsi ya kufuata sheria.
 
Back
Top Bottom