Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
kwangu mimi naona tunajitahidi ingawa speed inaweza kuwa ndogo. nikikumbuka miaka ile safari ya kutoka mwanza kuja dar ilivyokuwa ngumu sababu ya barabara hadi tukawa tunapitia nchi jirani,lakini leo unaweza kutoka tunduma mpaka mutukula(kagera) kwa ist maana ni lami tupu. Kuna kitu kinafanyika wajameni tusibeze sana.