Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

Data za barabara ambazo zimetolewa kwa Tanzania ni data za TANROAD tu, TARURA Network yote haipo kwenye hizo data, kwa ujumla Tanzania tuna Network kubwa ya Lami kuliko nchi zote hizo zilizotajwa. Kwa hiyo barabara zote za mjini hazijaorodheshwa, wakati nchi nyingine wameorodhesha za mjini pia.
Sawa hapo kwenye network tumejenga asilia ngapi? Angola ni kubwa kuliko Tzn
 
Tumejitahidi kulinganisha na nani? Ikiwa majirani wote wanatuzidi?

Kana kwamba haitoshi tunajenga barabara za grade ya chini Sana.
Tulia basi...wanatuzidi nini.. Uganda inaingia mara 4 kwa ukubwa kwa Tanzania. Tanzania Ina barabara ya lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba... Arusha mpaka Mbeya.. unaweza kujua ni km ngapi hizo..
 
Umesoma attachment hapo juu au unahemka tuu.

Hiyo Uganda unayoisemea ina daraja la suspension bridge la Jinja liko kitambo tuu wakati nyie ndio mnahangaika na Kigongo Busisi saizi na lile la Kigamboni ..

Barabarani ya Entebe Kampala hakuna ya kulinganisha hapa Tzn nk..

Ulinganisho unafanywa kwa vigezo vingi ikiwemo ubora na density of network per square km..

Kama shida yako ni ubishi Baki na ulimbukeni wako basi.
 
Umeelezea vema,tunaishi nchi ya sifia sifia tu,wataalaam wetu wote wameokotwa jalalani,kituko cha RPC Dodoma eti ataanza to escort buses zinapoingia mkoani kwake!ni kichekesho kitupu,we need to be serious hapa hii T1 ni uchafu mtupu hasa Mbeya to Tunduma,Dar to Mikumi ,hii barabara inabidi tuijenge upya sio kuitia viraka!life span ya barabara hii imeshapitwa na wakati,hii barabara imejengwa Nyerere era,inabidi tuipanue hasa pale Mikumi National park ikiwa ni pamoja na kusafisha vichaka vyote 20m both sides (faida yake tutapunguza wanyama wadogo kuwa maeneo karibu na barabara),Kitonga Pass tuweke njia mbili pale,Chimala to Mbeya papanuliwe na njia hii ichepushwe isipite katikati ya Mbeya.Natamani waziri wangu wa mawasiliano afanye utalii wa kikazi kwa barabara,aanzie N1 from Beitbridge to cape town,then N7 from Cape town to Namibia border,pale achukue B1 to windhoek,then aruke kwa ndege to Gaborone pale akamate A1,A2 na A3 towards kazungula,definitely akirudi Dar ataona tofauti kubwa kati yao na sisi.
Nimeskia Tunduma - Igawa itaanza kujengwa njia nne.
 
Kwa taarifa yako barabara inayopita ndani ya mbuga ya Mikumi itaondoka itarudi ilikokuwa zamani Kilosa kwenda Muheza Tanga.
 
Tanzania ni kubwa kuliko nchi zote,
Toa ushahidi kwa takwimu.
La sivyo acha braa braa.
Una shida ndugu 👇

Screenshot_20220119-123514.png

Screenshot_20211214-210856.png
 
Sasa hata Burundi, japo mtandao wao wa barabara ni mdogo lakini barabara zao zile zilizopo nzuri kweli, hata nyumba zao...quality

Nchi hii iliharibiwa na "zidumu fikra za mwenyekiti"...katika mambo Mzee wetu Nyerere alifeli ni vile kutaka sifa kama Jiwe
Mwalimu amefariki miaka 21 iliyopita. Kaacha madaraka tangu 1985 mmeshindwa nini muda wote huo kuziba makorongo aliyoacha? Mtaendelea kulaumu hadi lini? Rwanda mwaka 1994 walichinjana, lakini leo mbona wako mbali? Tuache lawama. tushiriki kujenga nchi yetu.
 
Tutashiriki hadi lini
 
Ni kweli mkuu hii ni excuse ya kijinga na ya watu wenye akili finyu kama sio mfu kabisa.
 
Umesoma attachment hapo juu au unahemka tuu.

Hiyo Uganda unayoisemea ina daraja la suspension bridge la Jinja liko kitambo tuu wakati nyie ndio mnahangaika na Kigongo Busisi saizi na lile la Kigamboni ..

Barabarani ya Entebe Kampala hakuna ya kulinganisha hapa Tzn nk..

Ulinganisho unafanywa kwa vigezo vingi ikiwemo ubora na density of network per square km..

Kama shida yako ni ubishi Baki na ulimbukeni wako basi.
Mimi nimetembea Uganda wewe. Usijifanye kujua wakati hujui. Ubora wa barabara unapimwa na nini?
 
Unaweza kutembea ila hujui unachoongea,kama hujui kipimo cha ubora Wa barabara tulia.

Nimekupa mifano hapo juu unabwabwaja.Narudia tena Tzn kuna barabara ya toll road kama ya Entebe Kampala? Ukiipata nitag
 
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Ukubwa wa nchi unaendana na idadi ya watu pamoja na kodi tunazokusanya ni kubwa kulinganisha na wao, ishu si ukubwa wa nchi bali ni akili na uzalendo wa kweli.
 
Kazi iendelee!

Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi.

Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa na Vinchi masikio kama Rwanda na Uganda?

Lazima kuna tatizo mahala maana haiwezekani kila kitu cha kutumia akili zetu sisi ni WA mwisho isipokuwa vitu vilivyowekwa na nature tuu.

Wakati tunajipiga kifua kwenye flyovers na madaraja ya suspension bridge kama la Kigongo-Busisi ,huko Jinja Uganda vipo siku nyingi Sana.

View attachment 2086670

View attachment 2086671

View attachment 2086672
Ujanja Ujanja wa Viongozi ili WAPIGE nchi hii ni kula kwa Urefu wa Kamba yako
 
Tulijikita katika mambo mengine kwanza, si mnajua maendeleo ni kujipangia vipao mbele. Maeneo matatu ya umuhimu TZ:
  • Mitandao ( simu janja, computa n.k)
  • Elimu bure kwa wote (Mjini mpaka vijijini)
  • Usalama wa nchi
Baada ya kukamilisha hayo ndio sasa tunajikita katika bara bara na fly over. Tukutane baada ya miaka 10, inshallah kama M Mungu atapenda ndio tuelezana tena habari hizi. Nakuhakikishia TZ isipokuwa kwenye 5 bora Afrika, CCM itatoka madarakani.
 
Miaka mitano , lakin ameacha miundombinu ya kimkakati kabisa,SGR,Busisi, Nyerere Bwawa,ikulu Dodoma,Stand mikoani
Amemuachia nani? Kwa nini hakuimaliza? Aliacha kipi kinachofanya Kazi?

Na ndio maana Tzn hakuna tunachoweza kuwazidi watu kwa sababu za akili za kijinga kama hizi za kina mwendazake.

No focus ni kushika kila sehemu matokeo yake ndio haya sasa, yaani typical akili za Kitanzania.

Barabara hujamaliza unashika kingine nacho kimeishia njiani, wenzetu wamejenga reli imeisha inafanya Kazi sisi sasa ni maneno ya kijinga kama haya yako.
 
Tulijikita katika mambo mengine kwanza, si mnajua maendeleo ni kujipangia vipao mbele. Maeneo matatu ya umuhimu TZ:
  • Mitandao ( simu janja, computa n.k)
  • Elimu bure kwa wote (Mjini mpaka vijijini)
  • Usalama wa nchi
Baada ya kukamilisha hayo ndio sasa tunajikita katika bara bara na fly over. Tukutane baada ya miaka 10, inshallah kama M Mungu atapenda ndio tuelezana tena habari hizi. Nakuhakikishia TZ isipokuwa kwenye 5 bora Afrika, CCM itatoka madarakani.
Hii nchi hakuna vipaombele na pia hata utekelezaji wetu ni WA Zima moto.

Miundombinu yenyewe tunajenga na grade za chini mno na wala hailengi kukaa miaka 20 ijayo ila tutajenga ya hovyo baada ya mda tutakuja tena kubomoa yaani ni kama utoto hivi.
 
Back
Top Bottom