The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #121
Kwa hiyo DRC ni kubwa kuliko Russia? Vipi sasa Angola ni kubwa kuliko Tanzania,umewazidi kipi sasa kwa hoja mfu yako ya kutumia eneo?Wewe endelea kung'ang'ania upumbavu wako! Hio list yako ya pili eti Seychelles ina network kubwa ya barabara kwa 526Km[emoji23][emoji23][emoji23], Hivi unafikiri kutoka Kinshasa hadi Lubumbashi kuna umbali gani???
Ukubwa wa Seychelles tu kama nchi hauzidi 500 square Kilometers, itakuaje na road network kubwa kuliko Congo DRC, Zambia, Sudan n.k qu hata kama nchi nzima ingekua barabara.
Nimeweka attachment hapo chini ya extensiveness of network au hujui lugha?
Una ujinga mwingi Sana kichwani,hii ni nini? Umeiona Tzn hapa iko namba ngapi? Nahisi kujadiliana na mtu mwenye akili kisoda .