The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
- #101
Na rasilimali zilizopo.Tzn ina ukubwa kuizidi Angola? Wamekaa kwenye vita miaka na miaka lakini hatuna pa kuwagusa.Ukubwa wa nchi unaendana na idadi ya watu pamoja na kodi tunazokusanya ni kubwa kulinganisha na wao, ishu si ukubwa wa nchi bali ni akili na uzalendo wa kweli.
Tzn kama jamii tuna tatizo kubwa Sana la matumizi ya akili.