Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

kwangu mimi naona tunajitahidi ingawa speed inaweza kuwa ndogo. nikikumbuka miaka ile safari ya kutoka mwanza kuja dar ilivyokuwa ngumu sababu ya barabara hadi tukawa tunapitia nchi jirani,lakini leo unaweza kutoka tunduma mpaka mutukula(kagera) kwa ist maana ni lami tupu. Kuna kitu kinafanyika wajameni tusibeze sana.
 
Magufuli alikuwa ana tengeneza nchi iwe ya mfano mkamuua. Kuleni matapishi yenu sas [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata Sgr wakina kiwwete walitaka kama ile ya Kenya ya diesel .magufuli akaseame kwa nin tusiwe na ile ya umeme na akasimamia shuguli ikaanza .ingekuwa ni ile ni kipendicha hiki cha SAA 100 ungekuta watu wameshaajipimia kirambo na mradi upo asilimia 34 na wahuni wakifurahia kwa mapambio kuwa mama anaupiga mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajitahidi kulinganisha na nani? Tuko nyuma mno
 
Barabara zimejengwa baadhi ya maeneo....sawa

Ila hazifanyiwi usafi,kufagiliwa kutoa mchanga

Baada ya muda barabara kama lami yote itapotea

Ova

View attachment 2087258

View attachment 2087259

Hata Sgr wakina kiwwete walitaka kama ile ya Kenya ya diesel .magufuli akaseame kwa nin tusiwe na ile ya umeme na akasimamia shuguli ikaanza .ingekuwa ni ile ni kipendicha hiki cha SAA 100 ungekuta watu wameshaajipimia kirambo na mradi upo asilimia 34 na wahuni wakifurahia kwa mapambio kuwa mama anaupiga mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara ya Kimara Kibaha hawa wazee wa kujipimia imewashinda wana maneno mengi kuliko vitendo! Yaani chini ya huyu mama maruerue tu!
 
Hi nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na hizo nchi. Utakuta huzi tulizojenga kwa uchache wake zitaenea eneo kubwa la hizo nchi. Bado tuendelee kuikumbusha Serikali watimize wajibu wao
Tema Zanzibar kupunguza eneo.
 
Unajitahidi kulinganisha na nani? Tuko nyuma mno
mimi hata sielewi hiyo nyuma yako mno ni nini?!? sasa hivi ni karibu barabara zote zinazounganisha mikoa ni lami/zinapitikwa kwa kipindi chote cha mwaka. wew unataka tuweke taa za barabarani from Dar to Mwanza??!!, hebu acheni mambo yenu ya kubezabeza tu, kwa upande wa barabara kuna jambo zuri limefanyika. inawezekana hujui tulikotoka
 
Barabara imeachwa almost imefia asilimia 92 hadi sasa mambo hayaelewiki tupo bi mkubwa anadai hatudaiwi pesa na mkandarasi sisi ndo tunadai kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huyo hajui hata anachofanya! Wewe umemuona anafanya hata ziara mikoani ni Dar zanzibar,mwanza arusha na dodoma ndo anakokwenda! Kwingine hana habari!
 
Hahaha huyo hajui hata anachofanya! Wewe umemuona anafanya hata ziara mikoani ni Dar zanzibar,mwanza arusha na dodoma ndo anakokwenda! Kwingine hana habari!
Wewe ni kenge jike,Kazi ya mawaziri ni nini?

Screenshot_20220118-132103.png

Screenshot_20220113-153235.png
 
mimi hata sielewi hiyo nyuma yako mno ni nini?!? sasa hivi ni karibu barabara zote zinazounganisha mikoa ni lami/zinapitikwa kwa kipindi chote cha mwaka. wew unataka tuweke taa za barabarani from Dar to Mwanza??!!, hebu acheni mambo yenu ya kubezabeza tu, kwa upande wa barabara kuna jambo zuri limefanyika. inawezekana hujui tulikotoka
Acha kuropoka,tembea Tzn uone.Kuna mikoa mingi Sana Tzn hii haijaunganishwa na lami.Ukitaka niambie nikutajie.
 
Tuseme ukweli tu.. kwenye suala la barabara tumejitahidi. Mi ni shahidi. Kazi kubwa imefanyika na inaendelea kufanyika
Tumejitahidi kulinganisha na nani? Ikiwa majirani wote wanatuzidi?

Kana kwamba haitoshi tunajenga barabara za grade ya chini Sana.
 
Data za barabara ambazo zimetolewa kwa Tanzania ni data za TANROAD tu, TARURA Network yote haipo kwenye hizo data, kwa ujumla Tanzania tuna Network kubwa ya Lami kuliko nchi zote hizo zilizotajwa. Kwa hiyo barabara zote za mjini hazijaorodheshwa, wakati nchi nyingine wameorodhesha za mjini pia.
 
Tanzania ni kubwa kuliko nchi zote,
Toa ushahidi kwa takwimu.
La sivyo acha braa braa.
Both kwenye quality na quantity/ density per square km wametuzidi mbali.

Kusingizia Ukubwa ni uchovu wa kufikiri,Angola ni kubwa kushinda Tzn lakini wametuzidi.
 
Magufuli alikuwa ana tengeneza nchi iwe ya mfano mkamuua. Kuleni matapishi yenu sas [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alimuua nani ? Ujinga wake ndio ulimuua kwa kudharau covid 19 ikampeleka kwenye shimo la hewa.

Kusoma sio kuelikika.
 
Back
Top Bottom