Tanzania tunalima Spice zipi kwa wingi? Wataalam wa Sea Food msaada pia

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
habari?
naomba kujua tanzania tunalima spices zipi kwa sana? na yeyote mwenye taarifa juu ya ulimaji wa cloves (karafuu) na elachi (kiswahili chake sijui) naomba kushare nae hizo taarifa. kwa anaefanya biashara ya sea food kama vile prawns(kamba), crabs(kaa) na crayfish especially yule anaeexport please naomba kuzungumza nawe.

Malila, LAT na wengineo nawasikiliza.
 
Last edited by a moderator:
Alpha group of company ebu google wanalima hadi shrimps huko mafia! wanaexport varieties za sea food.

Wamefungua chain of supermaket musoma na Mwanza kwa jina la Alpha Choice ambapo unapata aina zot za seefood!

Spice inayolimwa sana hapa Tanzania ni Tangawizi check na mbuge wa Same! pia Kigoma Tangawizi za kumwaga.
 
Asante,

Umesaidia sana, ukija hapa Kilwa kuna kambi ya Alpha kwa biashara hiyo ya see foods, hata marafiki zangu kadhaa hupeleka pale.Vyakula bahari sasa hivi imeanza kuwa biashara kubwa hata kwa soko la ndani. Hata Mbezi Luisi kwa wakuja wenzangu jioni kuna kamba kochi wanauzwa.

Ukitaka kujua biashara ya viungo na vinakopatikana nenda pale soko mjinga Kisutu, mfano unaposema pilipili, ni neno pana sana, ziko nyingi,pilipili mtama yaweza kuwa ndio pilipili ghari zaidi,lakini akina kanjibai wanataka pilipili washa ili wapige chafya na kutoa machozi,pilipili mbuzi,pilipili kichaa,hoho nk.

Je wajua gil gilan,je wajua mbilimbi,je wajua ukwaju,nyanya chungu,vitunguu swaumu, vitunguu maji,mdalasini,binzari,iriki nk. Nenda Kisutu pale utapata majibu. Pilipili Mtama hupatikana milima ya Matombo huko Moro.
 
ahsasnte sana kajansi. nitawasoma hao alpha.
 
ahsante malila,yaani kuna mtu anataka tuingie kwenye hiyo biashara ya sea food, anachojali ni quality na price. hapa nilipo sijui hata nianzie wapi. naomba nikutafute role model wangu maana sitaki kuipoteza hiyo opportunity. halafu nimepoteza yale mawasiliano.
 

Wapo vijana kadhaa hapa nilipo wanafanya hii biashara ya jongoo bahari,pweza,kamba nk. Umepoteza # ya simu au e mail address?
 
Wapo vijana kadhaa hapa nilipo wanafanya hii biashara ya jongoo bahari,pweza,kamba nk. Umepoteza # ya simu au e mail address?

naomba namba tuongee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…