Tanzania tunapitia Inflation

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
habari wana jamii....

Msaada kwa wenye uelewa na hili.

Ktika pitapita zangu mtandaoni na kwenye magazeti nikiangalia exchange rate za kila siku kwa kila nchi naona thamani ya fedha yetu ipo chini zaidi kiasi kwamba haijapishana sana na hela ya Zimbabwe(zim dola)ambayo naona hata wenyewe hawaitumii tangu Inflation iikumbe.

Zimbabwe siku hizi wanatumia US dollar na RSA Rand. Kama kweli kuna Inflation wazee wa uchumi tuambieni tuu ukweli tuanze kujiandaa kisaikolojia kutumia Dola,Shilingi ya Kenya au Faranka ya Rwanda.

Zitto Kabwe na wanauchumi wengine mada yenu hiyo karibuni mtusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…