FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio umeitoa point toka mwaka uanze!Jamani elimu ni muhimu sana.
Madhara ya shule za kujazwa ujinga yanajionesha wazi kwenye huu uzi.
Tatizo mtu anayejifanya mjuaji kama wewe Ujinga huwa haumuishi. Badilika kwanzaHaya tutoe ujinga basi..
Ujinga wake na wako ulishadhihirika kwenye uzi miaka 8 iliyopita, soma post za mwishoni.., huu uzi ni wa 2016.Tatizo mtu anayejifanya mjuaji kama wewe Ujinga huwa haumuishi. Badilika kwanza
Huku kujifanya unajua wakati ni mtupu!Ujinga wake na wako ulishadhihirika kwenye uzi miaka 8 iliyopita, soma post za mwishoni.., huu uzi ni wa 2016.
Hoja kwa hoja, vinginevyo umekuwa kihoja sasaHuku kujifanya unajua wakati ni mtupu!
Nani kazingua Mkuu?Oya unazingua aisee.
Alieuliza swali?Nani kazingua Mkuu?
Yupo sawa kaka labda tumsaidie kumpa majibu Hata mimi binafsi hii hainiingii Akilini, Mfano ili Nihitaji Pesa ya Kenya ni pale nitakapotaka kwenda Kenya kunua Bidhaa, na hapa tunaikuta law of Demand and Supply, Sasa inakuaje nitake Gari Japani ni lazimike kutafuta Dollar ya MarekaniAlieuliza swali?
Mjinga hawezi kukuelewa tena huyo mjinga anayekubishia kupata elimu ya Mtaala kutoka huko US tena theoretical US kiufupi IMF na WB ni mfumo iliyoletwa kunyonya na kudumaza nchi zinazoendelea.Leo hii marekani akiamua kujichapishia madollar yake vile anavyotakabthen akaja bongo kununua ng'ombe wrote tulionao na kutuacha maskini tunamzuiaje. And how do we know hafanyi hivyo on a moderated scale na kututia umaskini. Wanajichaposhia makaratasi na kuja kutalii bongo na dollar zao. If they get good and services internationally for their papers then they should also give goods and services internationally for their bills (contract), other wise wanatuibia!
Ili Uweze kununua unahitaji vitu viwiliYupo sawa kaka labda tumsaidie kumpa majibu Hata mimi binafsi hii hainiingii Akilini, Mfano ili Nihitaji Pesa ya Kenya ni pale nitakapotaka kwenda Kenya kunua Bidhaa, na hapa tunaikuta law of Demand and Supply, Sasa inakuaje nitake Gari Japani ni lazimike kutafuta Dollar ya Marekani
Sasa hapo ndio kwenye Shughuli unajua Mpaka tunafika kwenye paper Money tulishapita kwenye Means nyingi of exchange anzia bater trade, Precious Metal, Paper Money ni watu wanakubaliana karatasi furani ndio itumika ndio maana utaona IMF, WORLD BANK wakikukopesha interm of Dollar, inawezekana kabisa tukakubaliana na tukawa na Pesa nyingine ya pamoja itakayotumika kama Medium of Exchange badala ya Pesa ya nchi fulani Tofauti na hapo tutaendelea kuwafanyia kazi hawa mabwana na wanaendelea kuwa Maboss zetu, ndio maana Sector mojawapo ya Marekani ikiyumba basi ni Dunia Nzima Uchumi utayumba si mnakumbuka Sector ya Nyumba Marekani iliyumba nini kilitokea Duniani kuna makampuni yalifungwa na mengine kufilisika kabisaIli Uweze kununua unahitaji vitu viwili
1.Bidhaa
2.Pesa(media of exchange)
Hapo Namba Mbili Ndio kuna utata, Nina pesa (TSh) lakin haikubaliki kwenye mabadilishano Yaan kimataifa media of exchange ni Dolar.
Kwanin hatuna dola wakati tunaweza badili shilingi kuwa dola?
Wauzaji wa dolar hawataki kuuza dolar
Tuombe Mungu hawa BRICS walete mbadala wa medium of exchange, otherwise hii kausha damu ya US itaendelea kutuumiza kwa miaka mongi sana, EURO walau wamejikwamua.., ila sisi wengine hasa kutoka Afrika, tutaendelea kuumizwa sana..Sasa hapo ndio kwenye Shughuli unajua Mpaka tunafika kwenye paper Money tulishapita kwenye Means nyingi of exchange anzia bater trade, Precious Metal, Paper Money ni watu wanakubaliana karatasi furani ndio itumika ndio maana utaona IMF, WORLD BANK wakikukopesha interm of Dollar, inawezekana kabisa tukakubaliana na tukawa na Pesa nyingine ya pamoja itakayotumika kama Medium of Exchange badala ya Pesa ya nchi fulani Tofauti na hapo tutaendelea kuwafanyia kazi hawa mabwana na wanaendelea kuwa Maboss zetu, ndio maana Sector mojawapo ya Marekani ikiyumba basi ni Dunia Nzima Uchumi utayumba si mnakumbuka Sector ya Nyumba Marekani iliyumba nini kilitokea Duniani kuna makampuni yalifungwa na mengine kufilisika kabisa