Tanzania tunatumia bidhaa gani toka Marekani? Dollar ya kazi gani?

 
 
 
Unahitaji kujua,au una majibu yako ya uongo na kweli unataka uaminishe watu
 
Nadhani itolewe elimu kwa wasiolifahamu soko la dunia.
Na ambao hawajui kitu wawe tayari kubadili nadharia zao juu ya hiyo misimamo yao.
 
 
 
Mtu mwenye id ya 2013 hajui umuhimu wa dollar nchini

Kumbe hata wajinga wanazeeka
 
Mtoa mada ili nikujibu hoja yako naomba nikuulize ..

Kwanini unatumia Kiingereza na una Lugha yako ambayo ni kiswahili?
Mswahili ukienda nchi yoyote ile iwe Africa, China, Japan, Ujerumani Brazil, Uturuki nk ni lazima utumie kingereza ili muelewane
Kwanini usitumie kiswahili?
Ukitaka kuagiza kitu kwa mchina au mturuki unatumia Kiingereza sio kiswahili wala kichina kwanini?

Hakuna nchi utaenda utumie Kiingereza na ukose huduma dunia nzima. Kila nchi ina lugha yake/zake kwanini Kiingereza ni lazima?
Hiyo ni kwasababu Kingereza ndio Lugha superior duniani, hii ndio Lugha inayotumika kwa mawasiliano kimataifa ukubali au ukatae. Uwe mwarabu, mhindi, msomali utatumia tu, ndio maana hata mkataba wa bandari na dp world umeandikwa kwa Kiingereza.

Sasa Dola iko kama Kiingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…