Unatolea mifano nchi ambazo currency iko chini halaf unaita “maisha yanaenda” , kwa hiyo just because maisha yanaenda huko na sisi huku tu relax , accept failure just because maisha yanaenda? Tusichukue hatua yoyote because maisha yanaenda? Huyo ndie mfano wa chawa wasio na akili yoyote kichwani.