Tanzania tunauzwa na Wazalendo koko

Tanzania tunauzwa na Wazalendo koko

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Tanzania tunauzwa na Wazalendo koko.

Wanajifanya Wazalendo kwa kuendeleza uchawa yaani Mzalendo gani atashangilia au kunyamazia watu wasio na hatia kubambikizwa kesi au kutekwa.

Eti wewe ni Mzalendo halafu unajaribu na kujipendekeza kila wakati kutoa sababu za kuwafurahisha watekaji. Mzalendo gani ataunga mkono wizi wa kura?. Je mzalendo gani ataunga mkono viongozi kuficha ripoti za uchunguzi? Je ni mzalendo gani hatapenda katiba mpya kwa nchi iliyo oza hivi.

Wakina Kabudi, VP Deo, Mwigulu, na machawa wengine hapa
 
Back
Top Bottom