Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
NdioKwani tunashindana.
Tunashindana na nani?Ndio
Samaki huoza kuanzia kwa kichwa!Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
...
"Ugomvi" kati ya US - China - Europe unafikiri ni nini? Wataongea mengi lakini kikubwa UCHUMI. Uchumi imara ndio kila kitu.Kwani tunashindana.
Watu kama hata kujengwa kwa ukanda wa viwanda Bagamoyo hawataki,unategemea nini hapo?.Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.
2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.
3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.
4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.
5. Biashara. Nako hivyohivyo.
Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Shida ni kuwapa madaraka wapumbavu na jamaa zao huku tukitegemea matokeo effective!unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Huu mfano mkuu mimi mwenyewe nimeshuhudia,tanker inaungua moto upande wetu eti fire brigade inatokea Zambia kuja kuzima moto upande wetu,ndio maana nikipewa Urais wa 24hrs idara ya zimamoto na uokoaji nitairudisha kwenye serikali za mitaa sio kuwa chini ya jeshi la polisi(hawa ni useless kabisa,hawawezi hata to take simple statement au kutunza log books zao).unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Hivi sasa jeshi la zimamoto limeimarishwa sana kwa kupewa bunduki.unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Siyo kweli kwamba tunazidiwa kila kitu; tunawazidi kuwa na idadi kubwa ya watu - population!tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
Upo kundi lipi mkuu?Tumewazidi ujinga, umbea, ujuaji usiokuwa na maana.
Shida walioko juu wameshakubali matokeo, sisi ni wakina nani mpaka tupinge.
Malawi hii hii mkuu au?Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.
Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.
2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.
3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.
4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.
5. Biashara. Nako hivyohivyo.
Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Viongozi wako wenyewe nothingTanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.