Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Kama wananchi wenyewe ndio nyie Kazi yenu kulaumu unadhani kuna nini cha maana Nchi inaweza kufanya?
 
unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima

sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Technically hapa bongo hakuna kitu ambacho tumefaulu per say,,kila kitu ni sapoti ya nature..
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Na sisi tuna Kingai, Mahita na Goodluck
 
Usipende kuidogosha sana Nchi yako. Katika la East and Southern Africa, Tanzania inapitwa na nchi 3 tu nazo ni South Africa, Kenya na Angola.

Yote uliyoyaweka kwenye mada yako yanakuwa summarised kwenye national GDP (Gross Domestic Product).

Hizi Zambia, Uganda, Malawi wanaweza wakawa wanatuzidi uzalishaji wa sukari lakini sisi tunawazidi vitu vingi sana.
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Ukienda huko utakuta nao wanasema tunazidiwa na Tanzania

USSR
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Umepimaje elimu?

Au kujua kiingereza? Ndio ukaona ni elimu bora?
 
Wanotuongoza wanatuona vikaragosi,, anzisha kiwanda watukuretea kodi kibao mpaka utakifunga tu,,
Serikali yetu siyo fikirisha na haitoi vipaumbele kwenye suala hilo,, wanachojua ni kukusanya kodi na kubambikizia kesi tu!!!
 
yeah tupo nyuma sana kwa kweli
Huko Brazil wanawake wanabaka waume zao.. Sasa sijui huku kwetu wanasubiri nini?
 
mimi mtu anayetumia nchi za kiafrica kama rejea ya ubovu wa nchi ya tz huwa naona amekosa ufahamu na kile anachokizungumzia.

elimu ya kenya na uganda-ina matokeo gani chanya kutuzidi ikiwa bado kuna ufisadi wa kutisha na maeneo mengi kukosa chakula kwa ukame!!!!

hizi nchi zote bado ni utumbo tu,tunachokiona tz kipo kenya na uganda pia,ila ndio yale yale mke mzuri wa mwenzako usiyemlala.
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Sio kweli umefanya utafiti kweli?
 
Back
Top Bottom