Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

Kama wananchi wenyewe ndio nyie Kazi yenu kulaumu unadhani kuna nini cha maana Nchi inaweza kufanya?
 
Technically hapa bongo hakuna kitu ambacho tumefaulu per say,,kila kitu ni sapoti ya nature..
 
Na sisi tuna Kingai, Mahita na Goodluck
 
Usipende kuidogosha sana Nchi yako. Katika la East and Southern Africa, Tanzania inapitwa na nchi 3 tu nazo ni South Africa, Kenya na Angola.

Yote uliyoyaweka kwenye mada yako yanakuwa summarised kwenye national GDP (Gross Domestic Product).

Hizi Zambia, Uganda, Malawi wanaweza wakawa wanatuzidi uzalishaji wa sukari lakini sisi tunawazidi vitu vingi sana.
 
Ukienda huko utakuta nao wanasema tunazidiwa na Tanzania

USSR
 
Umepimaje elimu?

Au kujua kiingereza? Ndio ukaona ni elimu bora?
 
Wanotuongoza wanatuona vikaragosi,, anzisha kiwanda watukuretea kodi kibao mpaka utakifunga tu,,
Serikali yetu siyo fikirisha na haitoi vipaumbele kwenye suala hilo,, wanachojua ni kukusanya kodi na kubambikizia kesi tu!!!
 
yeah tupo nyuma sana kwa kweli
Huko Brazil wanawake wanabaka waume zao.. Sasa sijui huku kwetu wanasubiri nini?
 
mimi mtu anayetumia nchi za kiafrica kama rejea ya ubovu wa nchi ya tz huwa naona amekosa ufahamu na kile anachokizungumzia.

elimu ya kenya na uganda-ina matokeo gani chanya kutuzidi ikiwa bado kuna ufisadi wa kutisha na maeneo mengi kukosa chakula kwa ukame!!!!

hizi nchi zote bado ni utumbo tu,tunachokiona tz kipo kenya na uganda pia,ila ndio yale yale mke mzuri wa mwenzako usiyemlala.
 
Sio kweli umefanya utafiti kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…