dah mimi mambo ya hii nchi siangalii tena, yanakasirisha mno,
mimi nafanya kazi nafanya na mipango yangu vizuri niingize mkwanja mrefu, japokua sarafu inashuka daily.....
, serikali hii siitegemei kabisa, Tanzania kuna potential nyingi sana kiasi kwamba mtu ukiji set ukapanga mambo yako vizuri hata serikali ikiboronga wewe utakua tu vizuri