Tanzania tupo chini sana Kiuchumi hata kuliko Rwanda

Tanzania tupo chini sana Kiuchumi hata kuliko Rwanda

The hammer

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
2,397
Reaction score
1,786
Kumbe kuna mambo mengine Rwanda ipo hata juu ya U.S.A.

Kenya na Rwanda wametuacha sehemu nyingi sana.

Jaribu kufuatilia hii link ya World Economic Forum

Competitiveness Rankings
 
Na Bado, Subiri Uchaguzi wa zanzibar Umalizike, halafu muwekewe hivyo vikwazo vya Uchumi
Kama Urusi walio na Kila kitu wameyumba, itakuwa Tanganyika?
 
Kumbe kuna mambo mengine Rwanda ipo hata juu ya U.S.A.

Kenya na Rwanda wametuacha sehemu nyingi sana.

Jaribu kufuatilia hii link ya World Economic Forum

Competitiveness Rankings

dah mimi mambo ya hii nchi siangalii tena, yanakasirisha mno,
mimi nafanya kazi nafanya na mipango yangu vizuri niingize mkwanja mrefu, japokua sarafu inashuka daily.....
, serikali hii siitegemei kabisa, Tanzania kuna potential nyingi sana kiasi kwamba mtu ukiji set ukapanga mambo yako vizuri hata serikali ikiboronga wewe utakua tu vizuri
 
Back
Top Bottom