Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
03.Wale waliokuwa wa tatu,wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu.yaani wa kwanza na wa pili.
hapa umekosea kidogo kundi hili ndilo wanao ajiliwa nafasi za kawaida za maofisa serikalini na private,kwa upande wa siasa za Tanzania Takwimu zinaonyesha wengi waliokuwepo na ambao wapo katika ulingo wa siasa vilaza kielimu,wengi hawakusoma na kama alisoma hakufika mbali-hivyo walijikita katika kutafuta maji kwa juhudi zao binafsi ambazo ziliwasaidia kuingia kwenye siasa-
vitu vingine ni kwa ajili ya kuchekesha tu lakini nyie wa 0 ndo mnajifanya wajuaji kukosoa kila kitu. kama unajua sana mbona hukuandika yako...........