Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hatuna diplomatic muscles any more, the balance of power kwenye diplomacy has shifted to the South....wewe ukiangalia pale juu nani ni bingwa wa siasa na diplomacy anaweza kuchukua hizo initiatives.....Kwa namna yeyote ile ni lazima Tanzania ihakikishe amani inapatikana congo na Rwanda. Nchi zote mbili hizi Zina mchango mkubwa katika Uchumi na biashara katika nchi yetu.
Tanzania kwa sasa tupo katika mtego ambao ni lazima tuutegue katika njia ya amani kwa ustawi wa taifa lety. Kila la heri viongozi wetu Busara itumike kutafuta suluhu ya matatizo haya.
Wakina nani sasa?Jiandaeni soon, tunawarudisha kwenu Rwanda.
Bado hatujapoteza ushawishi Tanzania tuna heshima kubwa mbele ya mataifa mengi duniani hasa afrika.Hatuna diplomatic muscles any more, the balance of power kwenye diplomacy has shifted to the South....wewe ukiangalia pale juu nani ni bingwa wa siasa na diplomacy anaweza kuchukua hizo initiatives.....
Watu wanashindwa hata kukaa na Chadema tu hapa nchi ikaenda vizuri kila mtu akawa happy ndiyo uwategemee kwenye international diplomacy mzee.....Diplomatic credibility is first built at your own backyard. Mzee JK aliweza kwa kuwa hata nyumbani kwake alijenga mazingira ya kuaminika though alifeli kweny katiba mpya. But at least his mastery of political maneuvers hapa home vilimpa credibility na trust ya kuweza kusikilizwa huko nje, hawa wa kushinda uchaguzi asilimia 100% hawawezi kusikilizwa na mtu kwenye kusuluhisha migogoro.
Ni mwendo wa taataaataa hadi usurrenderAfrica amani ailetwi na vikao ni risasi tu.
Rejea mzozo wa Jonas Savimbi na serikali ya Angola.Wahutu na Watusi,Flerimo na Renamo,Iddi Amini na Nyerere.Wote hao mizozo yao ilimalizwa kwa mbungi.
Sasa hivi kila Mtu anayetaka huu mgogoro wa Kongo ya Mashariki utatuliwe kwa wahusika kufanya mazungumzo anatuhumiwa kuwa ni "Mnyarwanda".Wakina nani sasa?