MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wandugu,
Kwa matokeo haya ya form six na hasa zile shule za vipaji maalumu kufanya vizuri, Je Serikali inawatumiaje kwa sababu kuna wengi wanaishia kwenda nje na kusoma na kuishia kufanya kazi kwenye makampuni nje Kama yule mtanzania ambaye yupo kampuni ya Boeing Marekani.
Watanzania walishtuka sana kipindi tunanunua dreamliner na kumkuta mtanzania mmoja miongoni mwa wanaosuka Boeing hizi tuzionazo.