Kwanini tusiwe na barabara zinazodumu tu?! Kweli unashauri tuwe na barabara zinazokaa muda mfupi halafu zinaharibika? Mnapokuwa mmelewa achaneni na mitandaoIngefaa Tanzania tuwe na barabara za lami za aina mbili au madaraja mawili. Aina ya kwanza iwe na barabara za lami za kudumu na aina ya pili iwe barabara za lami za muda.
Barabara za lami za kudumu iwe ni zile zinazokaa hadi miaka 15 bila kuharibika. Barabara za lami za muda iwe ni zile zinazokaa miaka miwili tu zinaanza kuwa na mashimo na kuwekewa viraka kila mahali.
View attachment 3687920
View attachment 3687921