Nope, waliopo JF Ndiyo hao hao wadau wa X...Hela za Elon zimefanya vichaa wawe wengi X.Ndiyo social network pekee yenye watu wenye akili.
Kwingineko wamejaa akina Baba Atu, hata hapa JF pameanza kuwa kama Facebook!
Ni algorithm ya ulipo unavyoiset. Mule kuna pages ni porn mwanzo mwisho kuna watu wana stori kila siku.Ndiyo social network pekee yenye watu wenye akili.
Kwingineko wamejaa akina Baba Atu, hata hapa JF pameanza kuwa kama Facebook!
Uongo!JF ndio imejaa watu wenye akili kuliko mtandao wowote Tanzania
Friendly added.... wa kiume hapaswi kuomba urafiki sio π€Wewe mwanamke au mwanaume ?
hahahahaha,nakubaliana na ww,swali je wanazipata ?Nope, waliopo JF Ndiyo hao hao wadau wa X...Hela za Elon zimefanya vichaa wawe wengi X.
mie kule naonaga siku hz miyeyusho mingi zaidi tofauti na zamani, watoto wa GZ, na story zao za depo jktNi algorithm ya ulipo unavyoiset. Mule kuna pages ni porn mwanzo mwisho kuna watu wana stori kila siku.
Kama humu tu ukiamua ukutane na watu miyeyusho wamejaa
Wanashushia na chudai kidogo kwa missle nanaπHuko ni upako juu ya upako Bwasheeπ
Kina mkunaji mpemba na missle nana ni mwendo wa chudai tuNi algorithm ya ulipo unavyoiset. Mule kuna pages ni porn mwanzo mwisho kuna watu wana stori kila siku.
Kama humu tu ukiamua ukutane na watu miyeyusho wamejaa
Maniner, missile nana..πππKina mkunaji mpemba na missle nana ni mwendo wa chudai tu
Bwashee umemjuaje missile nana kama sio mdau wakeπ πManiner, missile nana..πππ
Kweli vijana chenga sana.