Tanzania Twitter/X asubuhi ni kama kanisa.

Tanzania Twitter/X asubuhi ni kama kanisa.

Twitter uwe na account iliyo Shiba, hauwezi kosa hela ya bia asee
 
JF ndio imejaa watu wenye akili kuliko mtandao wowote Tanzania
Unazungumzia hii JF yetu? Husema kuwa "JF Home of great thinkers". Jina si mboje. Sasa siyo tena.
 
Nina mda sijaingia X mkuu, naona inanichosha tu, kila ukiingia lazima vpn iwe on
X patamu mno , ila mwonekano wake kwa sasa unaniboa sijui kwa nini nili update
 
X patamu mno , ila mwonekano wake kwa sasa unaniboa sijui kwa nini nili update
Kama huko.ulipo hakuna matumizi ya vpn hakuna shida, huku bwana ni mwendo wa vpn, binafsi nachoka.
 
Kama huko.ulipo hakuna matumizi ya vpn hakuna shida, huku bwana ni mwendo wa vpn, binafsi nachoka.
Sirikali yenyewe kila siku inaposti twitter kwa vpn , hawa jamaa sijui nini kinawatisha humo
 
Back
Top Bottom