The richest peiople are MAFISADI NDANI YA CCM
pezzonovante,oil dril, diamond mining,thinktank.nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na bakhressa kisha mkewe mkapa then mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau lowasa
Nadhani kwa sasa itakuwa inaongozwa na Bakhressa kisha Mkewe Mkapa then Mwaziri wa serikali hiii bila kumsahau Lowasa
Aaah hao matajiri wa madini Arusha wana makeke mengi tu kwa kuwa mji ni mdogo lakini sio matajiri wa kuingia kwenye orodha ya matajiri wa kueleweka.
Mtu anayeoshea gari lake bia naye ni tajiri au limbukeni?
Phillemon, kile kitengo cha large Tax payer hakiwezi kutusaidia kujua 'matajiri' wa nchi hii kwa vile walioorodheshwa pale ni wale angalao wameorodhesha biashara halali na wanalipa kodi.
Lakini hata kama mtu hulipi kodi kwa ufisadi wako,wizi nk, haikuondoi kwenye orodha ya matajiri na hapo ndio tunapopataka,kujua hata hao walioficha fedha huko ughaibuni wana kiasi gani?wamepataje ni swali litakalofuata,Na tuwafanyeje hilo ni la mwisho
game theory at least ungetutajia wewe angalao TOP TWENTY RICHEST...kama forbes...alafu sisi tungeingia ku challange kuhusu position zao...
well nikusaidie tu ..kama unataka kufanya research ya tanzania most richest people nenda pale TRA kuna kitengo kinaitwa LARGE TAX PAYERS DEPT ...kinahudumia wafanyabiashara 300 tu..wanaoliingzia taifa almost 1 trillon kwa mwaka..sasa kama unataka kujua wazawa matajiri at least nenda pale kwenye kitengo utafikti wazawa matajiri waliobahatika kuwa rated as LARGE TAX PAYERS sasa from hapo uangalia who pays more to least in that cartegory ......hiyo itakuwa undisputed list kuliko kutaja tu hadi tutataja matajiri wasiolipa kodi au wa hela za unga!!