Tanzania Tycoons List...

Tanzania Tycoons List...

Yah hii ni kutokana na utafiti gani au huyu jamaa kazipata wapi kuweza kutengeneza list hii
 
UWEZO wa watanzania wengi kufikiri ni wakimasaburi saburi tu....Sasa mpaka lini mtaendelea kupenda kitabu kutokana na uzuri wa jalada lake?
Kama kwel hao ndio matajiri wa nchi hii basi kila anyesikikika kwenye vyombo vya habari hata kama ni Msimamizi tu wa biashara flani basi na yeye ni tajiri.
Matajiri wa kweli wanathaminishwa na takwimu zao za utajiri ambazo hawaogopi kuziweka hadharani pale inapohitajika.
ONYO:Angalia usijwe shitakiwa kwa kos la kumnadi mtu bila ruhusa yake.Sheria inaweza kukutia hatiani na kukutaka umlipe muhusika fidia na hivyo kumfanya kuwa tajiri kama ambavyo masaburi yako yalitaka.
 
Nyerere ndo tajiri. Utajiri wake uko kichwani na kwenye vitabu vyake. Hao wengine wezi tu! Knowledge na busara ndo utajiri wa kweli.
 
Aaah hao matajiri wa madini Arusha wana makeke mengi tu kwa kuwa mji ni mdogo lakini sio matajiri wa kuingia kwenye orodha ya matajiri wa kueleweka.

Mtu anayeoshea gari lake bia naye ni tajiri au limbukeni?

Mbona Shimbo hatajwi? Yeye ana trillion 3! Kifupi siiamini hii list. Huwezi kuacha kumtaja Zakaria. Kifupi kwa kuwa Tanzania jinsi kudhibiti mianya ya kukwepa kodi ni ngumu, ni vigumu kumjua mtu tajiri TZ..
 
Tanzania tunsa shida ya transoarency kwenye finacials. Hatuwezi pata takwimu sahihi labda tutafute independent body iweze toa hii orodha.
 
Phillemon, kile kitengo cha large Tax payer hakiwezi kutusaidia kujua 'matajiri' wa nchi hii kwa vile walioorodheshwa pale ni wale angalao wameorodhesha biashara halali na wanalipa kodi.
Lakini hata kama mtu hulipi kodi kwa ufisadi wako,wizi nk, haikuondoi kwenye orodha ya matajiri na hapo ndio tunapopataka,kujua hata hao walioficha fedha huko ughaibuni wana kiasi gani?wamepataje ni swali litakalofuata,Na tuwafanyeje hilo ni la mwisho

Nadhani hawa wanaolipa kodi ndo wanastahili kuitwa matajiri na na na imani na wao wanajisikia fahari kuitwa matajii walipa kodi kwa maneno mengine matajiri halali!..........hawa mimi ndo ninawaita matajiri............wanalipa kodi na wametengeneza ajaira na biashara kwa wengine hata kama wanaofaidika nao wote si Watanzania...................lakini hawa wengine nawafananisha na wezi tu.............hawawezi kutuambia wanachangieje pato la taifa...........hasa kama hawalipi kodi!
 
game theory at least ungetutajia wewe angalao TOP TWENTY RICHEST...kama forbes...alafu sisi tungeingia ku challange kuhusu position zao...

well nikusaidie tu ..kama unataka kufanya research ya tanzania most richest people nenda pale TRA kuna kitengo kinaitwa LARGE TAX PAYERS DEPT ...kinahudumia wafanyabiashara 300 tu..wanaoliingzia taifa almost 1 trillon kwa mwaka..sasa kama unataka kujua wazawa matajiri at least nenda pale kwenye kitengo utafikti wazawa matajiri waliobahatika kuwa rated as LARGE TAX PAYERS sasa from hapo uangalia who pays more to least in that cartegory ......hiyo itakuwa undisputed list kuliko kutaja tu hadi tutataja matajiri wasiolipa kodi au wa hela za unga!!

sikubaliani na wewe.....kuna watu wanahela kufuru na wanajua kukwepa taxes haijawahi tokea tena duniani hapa......unakuta wachaga wa kkoo, mtu ana import ma Container (40 feet) cio chini ya container 18 kila mwezi zenye thamani ya mpaka $600,000 each of them. Anazungusha mzigo mpka unakuwa mpole wewe......na ukicheck tax anayolipa ni inverse proportional na profits zake. Acha balaa wewe !!! kuna watu hela iko......
 
Unapoanzisha mada uwe na data za ukweli hapa umechemsha sana fanya utafiti kabala hujaandika pumba
 
Mtu anayemuweka Kajumulo katika list ya Tycoons amekosa uwezo wa kufikiri 😱hwell:
 
Back
Top Bottom