Mchelea Mwana
Member
- Apr 21, 2008
- 83
- 0
Chuma . . . Asante sana kwa angalizo. Actually nia yangu ya kuanzisha hii thread ni kutaka Watanzania wengine tuweze kujifunza kutoka kwa wenzetu ambao wemefanikiwa katika hilo. Bila ya shaka kuna watu ambao geinuinely watakuwa wamepata utajiri kwa njia za haki na tunapaswa kujifunza kutoka kwao. Na hili sidhani binafsi kama ni swala la kisiasa bali la kimaendeleo na hasa hasa kibiashara na bila ya shaka wenzetu hao watahitaji pongezi as long as tutapata actual facts.
Binafsi kama umeona post zangu zote hazina muelekeo wa kisiasa na ndio maana ninaweka na sources za information zangu.
TPN ni Mtandao ambao haufungamani na Jinsia, Dini wala Siasa za mlego wowote na ndio maana ina wapenzi na wanachama wa namna zote.
Kuna njia nyingene nzuri tu za kujifunza kwa watu walifanikiwa lakini sio hii unyofanya wewe hapa, kwanza hatutasikia chochote kutoka kwao ....please tafuta njia nyingine