Xhakaa
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 338
- 270
Lambele Jerome hakua center backNikiwakumbuka vijana hawa wala hata sishangilii ubingwa huu maana sioni future ya taifa stars.
1 Mohamed Hussein gk copa coca cola 2008
2 kabal faraj gk copa coca cola 2008
3 leodgar Ngonyani center back copa coca cola 2008
4 Lambele Jerome center back copa coca cola 2008
5 Dotto Wilson na pacha wake kulwa Wilson fullbacks copa coca cola 2008
Na wengine wengi walioipelekea Tanzania Brazil na kutwaa ubingwa