kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake.
fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa sababu ya B.Mkapa, bila ya hizo Kampuni tanzania leo hii ingekuwa masikini zaidi, yes alifanya makosa hasa kwenye migodi lkn pia ninaamini hakukusudia kwani amefanya mema mengi sana nchi hii, nimemkumbuka tu RIP!
I see two seriously men, they were bold and the knew what they were required to do.
They uphold the respect of black African in face of those who believe nothing good can be done by Africans
I see two seriously men, they were bold and the knew what they were required to do.
They uphold the respect of black African in face of those who believe nothing good can be done by Africans