ngulyavyangu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2019
- 203
- 266
Pole Sana maana haujui chochote.. Na hautajua chochote.Nigger please, i don't have to see them flying when they fly , i can look for videos online, there are many KE videos of fly pasts in ceremonies, training ... i just said i can't find such videos in the case of TZ n UG.
😀😀Pole Sana maana haujui chochote.. Na hautajua chochote.
Ila anzisheni muone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaficha nini ya maana na hizi jeshi zenu maskini.Kwanza kabisa ukanda nchi zenye jet nzuri ni tz na ug
Kutokuonekana ni sababu majeshi haya sio ya show off like kdf
Pia gharama za kuzitunza jet ni kubwa na ni mzigo maana hazina umuhimu wowote zaidi ya hasara tu kwa nchi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahah mungiki mnafurahisha Sana.Mnaficha nini ya maana na hizi jeshi zenu maskini.
Kama superpowers like US RUSSIA CHINA unazipata what about LDC pooor shithole nations !!!!!
Mnaficha nini ya maana na hizi jeshi zenu maskini.
Kama superpowers like US RUSSIA CHINA unazipata what about LDC pooor shithole nations !!!!!
Wapuuzi aise sasa Kenya wana jet gan ya maana kama tu al shabab waliteka kambi ya kdf na kuuwa askari 350 na kdf waliogopa kupeleka msaada eti ndege zitatunguliwaHahahah mungiki mnafurahisha Sana.
Sasa tukizificha nyie kinawauma nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kufanya maonyesho ila kwenye battle field mnanyooshwa uzuuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
what of mwanza airbase?Mbona Kenya moi base ipo karibu na border?
Moro mbona ipo mbali na border pia nadhani wanaangalia maeneo ya kimbinu zaidi
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Eneo la kimbinu zaidiwhat of mwanza airbase?
Alshabab wamesemaje kuhusu jet za kdf?
Wanabanjuka tu.
Al shabab wana uwezo wa kuzitungua jet za kdf that why kwenye lile shambulio la kambi ya al adde kdf waligoma kuzipeleka aiseAlshabab wamesemaje kuhusu jet za kdf?
Wana ndege za Aina gani?Hao super power wanazionesha jet zao kwa sababu
wapo kwenye vita baridi na mashindano ya silaha
@wanatangaza biashara ya jet zao
Tz na Uganda hawafanyi kama Kenya kwa sababu
@hawapendi sifa za kijinga
@wanaamini katika ubora wa jet zao
@ni gharama kufanya show off aliyakuwa kibera kuna watu wanakunywa supu ya funza
HAKUNA tishio lolote pia vita vya nchi na nchi zimeisha siku hizi
@wameshawai kuingia vitani na wanajua madhara ya vita
All in all uganda ndio nchi yenye jet bora zaidi ukanda huu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
WTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troopsAl shabab wana uwezo wa kuzitungua jet za kdf that why kwenye lile shambulio la kambi ya al adde kdf waligoma kuzipeleka aise
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Eti supu ya funza? 😦hebu lete ushahidi naona umeambukiwa ushenzi na wabongolala.Hao super power wanazionesha jet zao kwa sababu
wapo kwenye vita baridi na mashindano ya silaha
@wanatangaza biashara ya jet zao
Tz na Uganda hawafanyi kama Kenya kwa sababu
@hawapendi sifa za kijinga
@wanaamini katika ubora wa jet zao
@ni gharama kufanya show off aliyakuwa kibera kuna watu wanakunywa supu ya funza
HAKUNA tishio lolote pia vita vya nchi na nchi zimeisha siku hizi
@wameshawai kuingia vitani na wanajua madhara ya vita
All in all uganda ndio nchi yenye jet bora zaidi ukanda huu
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hizo hadithi zao za kimbumbumbu ndio huwa wanasimuliana wakinywa kahawa vijiweni. Shida ni kwamba huwa wanazicopy paste hapa kwenye jukwaa la watu ambao wanajielewa. Yaani kuna vitu vingine huwa wanaandika humu, kwa bahati mbaya ukisoma huwa unabaki ukijiuliza maswali mengi sana.WTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troops
Kwaiyo unataka kuzifananisha F-5 na sukhoi su?Wana ndege za Aina gani?
Huo ubora unaowapa Uganda umeangalia Vigezo gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kama mna jet zingine tofauti na F-5 from JordanWTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troops
Eti supu ya funza? [emoji46]hebu lete ushahidi naona umeambukiwa ushenzi na wabongolala.