Tanzania, Uganda Airforce

Tanzania, Uganda Airforce

Kwanza kabisa ukanda nchi zenye jet nzuri ni tz na ug

Kutokuonekana ni sababu majeshi haya sio ya show off like kdf

Pia gharama za kuzitunza jet ni kubwa na ni mzigo maana hazina umuhimu wowote zaidi ya hasara tu kwa nchi

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mnaficha nini ya maana na hizi jeshi zenu maskini.
Kama superpowers like US RUSSIA CHINA unazipata what about LDC pooor shithole nations !!!!!
 
Hahahah mungiki mnafurahisha Sana.
Sasa tukizificha nyie kinawauma nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Endeleeni kufanya maonyesho ila kwenye battle field mnanyooshwa uzuuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao super power wanazionesha jet zao kwa sababu
wapo kwenye vita baridi na mashindano ya silaha

@wanatangaza biashara ya jet zao

Tz na Uganda hawafanyi kama Kenya kwa sababu
@hawapendi sifa za kijinga
@wanaamini katika ubora wa jet zao
@ni gharama kufanya show off aliyakuwa kibera kuna watu wanakunywa supu ya funza
HAKUNA tishio lolote pia vita vya nchi na nchi zimeisha siku hizi
@wameshawai kuingia vitani na wanajua madhara ya vita

All in all uganda ndio nchi yenye jet bora zaidi ukanda huu

Wapuuzi aise sasa Kenya wana jet gan ya maana kama tu al shabab waliteka kambi ya kdf na kuuwa askari 350 na kdf waliogopa kupeleka msaada eti ndege zitatunguliwa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
KDF Moto wa kuotea mbali ilikomboa Somalia nchi ilikuwa na vita zaidi ya miaka 20 wakati TPDF na UDF wanang'ang'ania madini ya DRC kwa jina la kuregesha amani.
 
Alshabab wamesemaje kuhusu jet za kdf?
 
A-makeshift-Al-Shabaab-Camp-Destroyed-by-KDF-Fighter-Jets-in-Gedo-Region-Somalia.jpg
Wanabanjuka tu.
Alshabab wamesemaje kuhusu jet za kdf?
 
Alshabab wamesemaje kuhusu jet za kdf?
Al shabab wana uwezo wa kuzitungua jet za kdf that why kwenye lile shambulio la kambi ya al adde kdf waligoma kuzipeleka aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Hao super power wanazionesha jet zao kwa sababu
wapo kwenye vita baridi na mashindano ya silaha

@wanatangaza biashara ya jet zao

Tz na Uganda hawafanyi kama Kenya kwa sababu
@hawapendi sifa za kijinga
@wanaamini katika ubora wa jet zao
@ni gharama kufanya show off aliyakuwa kibera kuna watu wanakunywa supu ya funza
HAKUNA tishio lolote pia vita vya nchi na nchi zimeisha siku hizi
@wameshawai kuingia vitani na wanajua madhara ya vita

All in all uganda ndio nchi yenye jet bora zaidi ukanda huu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Wana ndege za Aina gani?
Huo ubora unaowapa Uganda umeangalia Vigezo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Al shabab wana uwezo wa kuzitungua jet za kdf that why kwenye lile shambulio la kambi ya al adde kdf waligoma kuzipeleka aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
WTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troops
 
Hao super power wanazionesha jet zao kwa sababu
wapo kwenye vita baridi na mashindano ya silaha

@wanatangaza biashara ya jet zao

Tz na Uganda hawafanyi kama Kenya kwa sababu
@hawapendi sifa za kijinga
@wanaamini katika ubora wa jet zao
@ni gharama kufanya show off aliyakuwa kibera kuna watu wanakunywa supu ya funza
HAKUNA tishio lolote pia vita vya nchi na nchi zimeisha siku hizi
@wameshawai kuingia vitani na wanajua madhara ya vita

All in all uganda ndio nchi yenye jet bora zaidi ukanda huu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Eti supu ya funza? 😦hebu lete ushahidi naona umeambukiwa ushenzi na wabongolala.
 
WTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troops
Hizo hadithi zao za kimbumbumbu ndio huwa wanasimuliana wakinywa kahawa vijiweni. Shida ni kwamba huwa wanazicopy paste hapa kwenye jukwaa la watu ambao wanajielewa. Yaani kuna vitu vingine huwa wanaandika humu, kwa bahati mbaya ukisoma huwa unabaki ukijiuliza maswali mengi sana.
 
WTF are you talking about?.... Kenyan jets are the only jets carrying out long range airstrikes in somalia .Kenya airforce is the most active airforce among Amisom troops
Labda kama mna jet zingine tofauti na F-5 from Jordan

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
We manzi dawa yako ni mimba basi

Swala la supu ya funza niliona kwenye kitabu tena muandishi wake ni mkenya na akisema ni pande za kibera
Eti supu ya funza? [emoji46]hebu lete ushahidi naona umeambukiwa ushenzi na wabongolala.

Back
Top Bottom