Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Ni kweli na ndio maana akina Tundazuri pamoja na Mpwayungu Village bila kusahau cocastic wameyakimbia na kukubali kukunjwa na kupumuliwa😀😀😀Daah wanaume wameumbiwaa matesooo...matesooo kuhangaikaaa...
Ni kweli na ndio maana akina Tundazuri pamoja na Mpwayungu Village bila kusahau cocastic wameyakimbia na kukubali kukunjwa na kupumuliwa😀😀😀Daah wanaume wameumbiwaa matesooo...matesooo kuhangaikaaa...
Ndio maisha ya mtanzania haya? Anafikiria mpakq nguvu za giza zihusike. Wakati mandia wakubwa huko nje wana stick na diet, mazoezi kwa sana, na technical arts za boxing?BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo.
Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya kufanyiwa kipimo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke hali iliyolazimu kuandikiwa rufaa ya kupelekwa Muhimbili.
Januari 24, 2025, bondia huyo alizimia baada ya kupigwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu katika pambano la raundi nne dhidi ya Ally Issa Sewe lililofanyika Ukumbi wa Mrina uliopo TipTop, Manzese jijini Dar es Salaam.
Daktari wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Dokta Hadija Hamisi, amesema: "Mgonjwa ameshafanyiwa kipimo cha CT Scan na amegundulika kuwa damu imevilia kwenye ubongo, anapelekwa Moi, Muhimbili kwa ajili ya kupata vipimo zaidi na Moi watatupa majibu zaidi."
Chanzo: mwanaspoti_tz
Kuna Bondia Mmoja Mkongwe akitokea Jeshini aliwahi kuniambia kuwa Ubondia na Ushirikina TZ vina Ushirikiano.
Matumla ndiyo zake hizo,kuna mzungu alilalamika hivyohivyoHahahaha, huu mchezo wa ngumu miaka ya nyuma nilikua na ndugu yangu nae bondia enzi hizo Ngumu Iko juu.. kulikua na Pambano kati ya George Sabuni ( Yanga ) na Rashid Matumla (Simba ) ngumi zilipigwa ukumbi wa Gerezani
Sasa bana yule ndugu yangu alikutana na dogo wa Keko aisee round ya 5 tu mtu hafai, Akala KO ,kutoka eti akawa anasema alikua haoni mpinzani na alikua anapigwa na kitu kama mchi wa kutwangia...nilicheka sana
Kuna hatua kwenye kutoboa kwenye michezo na burudani,lazima unyonywe kwanzaNdiyo Maana huwa namkubali sana Hassan Mwakinyo, anasimamia maslahi yake, anasema kuna baadhi ya mabondia hadi wanakopwa, Promota atamlipa bondia baada ya kupata makusanyo ya viingilio.
Yuko Mahututi ICU kuna cha kupona hapo Mkuu?namtakie apone haraka na astaafu huo mchezo pia
Ikupe Mimba.Chai
Katiwe.Ikupe Mimba.
Kama Wewe?Katiwe.
Pole sana dunia haina huruma mimi nikiangalia watu wanavyoteseka juani naumia sanaaa nawaza kizazi changu kitakuajeNyiee leo nimeliaa nimeangalia huyo kijana alivyopigwa akaanguka chini akashindwa kuhema...nimeumia sanaaaaaaa...
Yule aliempiga badala aonyeshe fair play anafanya ishara ya kwamba yule jamaa akafukiwe..nimeumiaaaa kama mama...
Nawaza vijana wangu wa kiume wakiwa wakubwa siku moja maskini wakikosa maisha ndo katika kupambana wanakutana na hali kama hizi...
In short niseme tuu nimeumia halafu nilikua sijalia siku nyingi basi leo nimetoa sumu mwilini kwa uchungu....
Acha tuu kaka...Pole sana dunia haina huruma mimi nikiangalia watu wanavyoteseka juani naumia sanaaa nawaza kizazi changu kitakuaje
Unaona tunafahidi mwanangu, kwanza leo nimelewa nina stress hapa, nataman kunyonya Ice cream ya utamuNi kweli na ndio maana akina Tundazuri pamoja na Mpwayungu Village bila kusahau cocastic wameyakimbia na kukubali kukunjwa na kupumuliwa😀😀😀
Hatutaki mafi hapa.Unaona tunafahidi mwanangu, kwanza leo nimelewa nina stress hapa, nataman kunyonya Ice cream ya utamu
Acha makasiriko tafuta pesaaa, kukosa pesa kwako ndio unifokee hahaha, jitafute rafk mm hata hunifikii hata iweje, hata kielimu hunifikiiHatutaki mafi hapa.
Pumbavu.
Ni kweli sikufikii. Sasa pesa na elimu yako inakusaidia nini kama unapigwa Pumbu na wanaume wenzako? Si bora hata mi ngumbalu.Acha makasiriko tafuta pesaaa, kukosa pesa kwako ndio unifokee hahaha, jitafute rafk mm hata hunifikii hata iweje, hata kielimu hunifikii