Tanzania ukiwa Bondia halafu hujui Kuroga au Kujiganga tegemea Kuzimia Ulingoni, kuwa Kilema haraka au hata Kufa kabisa

Tanzania ukiwa Bondia halafu hujui Kuroga au Kujiganga tegemea Kuzimia Ulingoni, kuwa Kilema haraka au hata Kufa kabisa

BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo.

Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya kufanyiwa kipimo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke hali iliyolazimu kuandikiwa rufaa ya kupelekwa Muhimbili.

Januari 24, 2025, bondia huyo alizimia baada ya kupigwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu katika pambano la raundi nne dhidi ya Ally Issa Sewe lililofanyika Ukumbi wa Mrina uliopo TipTop, Manzese jijini Dar es Salaam.

Daktari wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Dokta Hadija Hamisi, amesema: "Mgonjwa ameshafanyiwa kipimo cha CT Scan na amegundulika kuwa damu imevilia kwenye ubongo, anapelekwa Moi, Muhimbili kwa ajili ya kupata vipimo zaidi na Moi watatupa majibu zaidi."

Chanzo: mwanaspoti_tz

Kuna Bondia Mmoja Mkongwe akitokea Jeshini aliwahi kuniambia kuwa Ubondia na Ushirikina TZ vina Ushirikiano.
Ndio maisha ya mtanzania haya? Anafikiria mpakq nguvu za giza zihusike. Wakati mandia wakubwa huko nje wana stick na diet, mazoezi kwa sana, na technical arts za boxing?

Seriously?
 
Isije kuwa ile knock out ya mazeli ni makafara ya uchaguzi wa 2025, shauri zenu
 
Hahahaha, huu mchezo wa ngumu miaka ya nyuma nilikua na ndugu yangu nae bondia enzi hizo Ngumu Iko juu.. kulikua na Pambano kati ya George Sabuni ( Yanga ) na Rashid Matumla (Simba ) ngumi zilipigwa ukumbi wa Gerezani

Sasa bana yule ndugu yangu alikutana na dogo wa Keko aisee round ya 5 tu mtu hafai, Akala KO ,kutoka eti akawa anasema alikua haoni mpinzani na alikua anapigwa na kitu kama mchi wa kutwangia...nilicheka sana
Matumla ndiyo zake hizo,kuna mzungu alilalamika hivyohivyo
 
Nyiee leo nimeliaa nimeangalia huyo kijana alivyopigwa akaanguka chini akashindwa kuhema...nimeumia sanaaaaaaa...
Yule aliempiga badala aonyeshe fair play anafanya ishara ya kwamba yule jamaa akafukiwe..nimeumiaaaa kama mama...
Nawaza vijana wangu wa kiume wakiwa wakubwa siku moja maskini wakikosa maisha ndo katika kupambana wanakutana na hali kama hizi...
In short niseme tuu nimeumia halafu nilikua sijalia siku nyingi basi leo nimetoa sumu mwilini kwa uchungu....
 
Pole sana dunia haina huruma mimi nikiangalia watu wanavyoteseka juani naumia sanaaa nawaza kizazi changu kitakuaje
 
Acha makasiriko tafuta pesaaa, kukosa pesa kwako ndio unifokee hahaha, jitafute rafk mm hata hunifikii hata iweje, hata kielimu hunifikii
Ni kweli sikufikii. Sasa pesa na elimu yako inakusaidia nini kama unapigwa Pumbu na wanaume wenzako? Si bora hata mi ngumbalu.

Elimu na pesa ina faidia ukiwa unapiga mashine mademu wazuri ila wewe unapanua tako huku unakata mauno ili wanaume wenzako wakukojolee.

Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom