Tanzania ukiwa Bondia halafu hujui Kuroga au Kujiganga tegemea Kuzimia Ulingoni, kuwa Kilema haraka au hata Kufa kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo.

Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya kufanyiwa kipimo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke hali iliyolazimu kuandikiwa rufaa ya kupelekwa Muhimbili.

Januari 24, 2025, bondia huyo alizimia baada ya kupigwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu katika pambano la raundi nne dhidi ya Ally Issa Sewe lililofanyika Ukumbi wa Mrina uliopo TipTop, Manzese jijini Dar es Salaam.

Daktari wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Dokta Hadija Hamisi, amesema: "Mgonjwa ameshafanyiwa kipimo cha CT Scan na amegundulika kuwa damu imevilia kwenye ubongo, anapelekwa Moi, Muhimbili kwa ajili ya kupata vipimo zaidi na Moi watatupa majibu zaidi."

Chanzo: mwanaspoti_tz

Kuna Bondia Mmoja Mkongwe akitokea Jeshini aliwahi kuniambia kuwa Ubondia na Ushirikina TZ vina Ushirikiano.
 
Nakumbuka lile pambano la Twaha Kiduku na Dullah Mbabe, round ya kwanza Twaha Kiduku alipigwa kombora (ngumi ya kichawi) na Dullah Mbabe. Ile ngumi ilimpeleka Kiduku chini mpaka Team yake wakawa wanajitafakari na kuna mambo behind the scene yalimpa uwezo na nguvu ya kuinuka tena. 🤣🤣🤣
 
Chai
 
Hahahaha, huu mchezo wa ngumu miaka ya nyuma nilikua na ndugu yangu nae bondia enzi hizo Ngumu Iko juu.. kulikua na Pambano kati ya George Sabuni ( Yanga ) na Rashid Matumla (Simba ) ngumi zilipigwa ukumbi wa Gerezani

Sasa bana yule ndugu yangu alikutana na dogo wa Keko aisee round ya 5 tu mtu hafai, Akala KO ,kutoka eti akawa anasema alikua haoni mpinzani na alikua anapigwa na kitu kama mchi wa kutwangia...nilicheka sana
 
Hiyo ya kutomuona mtu mara nyingi sana aisee kuna dogo mmoja naye ni mbavu hasa na alishawahi kuwa bodigadi wa Harmonize kuna siku naye hizi ndondi za kitaa alipanda ulingoni.

Aisee alichapika sana mpaka watu walishangaa kuja kuulizwa baadaye akasema alikuwa hamuoni aliyekuwa anapigana naye na alikuwa anapigwa na vipande vya matofali
 
hahahahaha huwa ni kweli au zile ngumi zinawachqnganya mpk anahisi haoni mtu ulingoni
 
Nakumbuka lile pambano la Twaha Kiduku na Dullah Mbabe, round ya kwanza Twaha Kiduku alipigwa kombora (ngumi ya kichawi) na Dullah Mbabe. Ile ngumi ilimpeleka Kiduku chini mpaka Team yake wakawa wanajitafakari na kuna mambo behind the scene yalimpa uwezo na nguvu ya kuinuka tena. 🤣🤣🤣
Ile ngumi nilijua pambano limeishia pale pale
 
BONDIA wa Ngumi za Kulipwa Tanzania, Mohamedi Mnemwa, amepewa rufaa ya kupelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye kitengo cha Mifupa Moi kufuatia kipimo cha CT Scan kuonyesha damu imevilia kwenye ubongo.

Tatizo hilo liligundulika mchana wa jana Jumatatu Januari 27, 2024 baada ya kufanyiwa kipimo katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke hali iliyolazimu kuandikiwa rufaa ya kupelekwa Muhimbili.

Januari 24, 2025, bondia huyo alizimia baada ya kupigwa Technical Knockout (TKO) raundi ya tatu katika pambano la raundi nne dhidi ya Ally Issa Sewe lililofanyika Ukumbi wa Mrina uliopo TipTop, Manzese jijini Dar es Salaam.

Daktari wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC), Dokta Hadija Hamisi, amesema: "Mgonjwa ameshafanyiwa kipimo cha CT Scan na amegundulika kuwa damu imevilia kwenye ubongo, anapelekwa Moi, Muhimbili kwa ajili ya kupata vipimo zaidi na Moi watatupa majibu zaidi."

Chanzo: mwanaspoti_tz

Kuna Bondia Mmoja Mkongwe akitokea Jeshini aliwahi kuniambia kuwa Ubondia na Ushirikina TZ vina Ushirikiano.
Alitakuwa ajilinde asipigwe migumi kichwani, hapo hakuna cha uchawi wala nini
 
Back
Top Bottom