Tanzania unatoa maelekezo juu ya Covid19 Duniani

Tanzania unatoa maelekezo juu ya Covid19 Duniani

ushashi

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
375
Reaction score
518
Wapende wasipende...miongozo yote Kwa sasa kuhusu ugonjwa wa Corona inatokea Tanzania.
Link hii hapa
Wazungu Kwa huyu Mzee wamemkubali bado jamaa wachache hasa wajaluo na wakarenjini kutoka kaskazini wanaona aibu hata kufungua lockdown zao lakini ukweli ndo huo.
Mungu tulie muomba sio Raila Odinga... Hahaaa haaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehe tehe,wakenya wako lock down ya milele na curfew na maji hakuna sijui wanaishije na vyoo vyao
 
20200516_081253.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom