Kaka mali ya Mtanzania ni ya Mtanzania! Kama hapa Zenji tu Wabara haturuhusiwi kujenga iweje turuhusu wakenya waje kujenga Tz na population yetu inapanda kwa kasi namna hii??
Huko Uhamiaji nlitaka kujua kama sheria za uhamiaji zinaruhusu Mkenya kumiliki Ardhi ya Tanzania au la? Maana hata katika nafasi za ajira zinazotangazwa na serikali huwa kuna kigezo kuwa muombaji awe raia wa Tanzania, wewe bado hujaona hata ardhi tulitakiwa kuweka kigezo???