Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Umeandika upuuzi mtupu.Kuna ushahidi unataka zaidi ya ule wa kada Hamza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika upuuzi mtupu.Kuna ushahidi unataka zaidi ya ule wa kada Hamza
😂😂😂Umeandika upuuzi mtupu.
Wewe na kushauri jikute kutafuta vya kwako achana na propaganda za wana siasa na viongozi wetu wana tulaghai tu ili tuone kama tuna miliki nchi yetu, achana na cha kumiliki aridhi ananunua kwa pesa yake, unajua tuna wa bunge na viongozi wengi amboa sio watznia ila wanesaidia hi nchi kuliko watazania wazawa, na serikali inawajua vizuri na inawatumia, wewe pambana na familia tu mengine acha yapite, utakufa kwa msukumo wa damu bure.Kaka mali ya Mtanzania ni ya Mtanzania! Kama hapa Zenji tu Wabara haturuhusiwi kujenga iweje turuhusu wakenya waje kujenga Tz na population yetu inapanda kwa kasi namna hii??
Huko Uhamiaji nlitaka kujua kama sheria za uhamiaji zinaruhusu Mkenya kumiliki Ardhi ya Tanzania au la? Maana hata katika nafasi za ajira zinazotangazwa na serikali huwa kuna kigezo kuwa muombaji awe raia wa Tanzania, wewe bado hujaona hata ardhi tulitakiwa kuweka kigezo???