Kumbe porojo tu nikajua umekuja na fact.Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
What is consided unemployment, to you?Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
Jipange uludi tena😊😊😊Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
iv unajua kama SA ndio leading country ktk iyo issue ya unemployment. bro zile issue za xenophobia ni clear indicator blaza... next time usilete takataka zako hapa JF upeleke huko kajiado uzikusanyie hapo na uzichomee moto apooooooooooKwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
Hujafika south Africa we we , SA kuna maviwanda kibao ya kila aina. Vijana wengi wana formal jobs sio hapa bongo hata machinga wa barabarani mnasema anaajila niamini kuwa ww ni kubwa jingaYaan we jamaa ni LIJINGAAAA la karne yaan
iv unajua kama SA ndio leading country ktk iyo issue ya unemployment. bro zile issue za xenophobia ni clear indicator blaza... next time usilete takataka zako hapa JF upeleke huko kajiado uzikusanyie hapo na uzichomee moto apoooooooooo
Data za Unemplymenet rate kwa nchi za kwetu siyo za uhakika kwa vile tafsiri halisi ya emplyoment haijulikani. Kwa mfano, hapa Tanzania umachinga nao ni employment; na kwa data za namna hiyoinaonekana kuwa hadi December mwaka 2018, unemployment ya Tanzania ilikuwa ni kati ya 9.9% na 12.9%. Rwanda uneployement rate ilikuwa mi kati ya 1.0% na 17.8%, wakati Burundi ilikuwa ni kati ya 1.5% na 2.1%. Data za namna hiyo zina uncertainity kubwa sana hasa kwa vile nchi zetu hazina uhakiki wa kutosha kuhusu maisha ya raia wake. Tunaweza kuwa na data za mauzo na mapato kwa vile namba zake zinapatikana kirahisi, lakini data za kuhusu maisha ya raia hatuna kabisa kwa vile hatuna mfumo wa kodi unaouhisha mapato ya raia wote, kiasi kuwa mwisho wa mwaka kila raia anawakilisha tax return zake.
Kupima kiwango cha uneplyment harakaharaka, hebu angalia kunapotokea jambo lolote hata dogo sana uone jinsi watu watakavyojaa pale mpaka askari waingilie kusimamia. Wote hao ni kwa sababu hawana jambo la maana la kufanya. Angalia watu wanaojaa airport eti kuipokea ndege mpya; majuzi niliangalia video kuwa Harmonize anamwendesha mpenzi wake kwa baiskeli huko kijijini kwao umma mzima wa watu walikuwa wanamkimbilia kumwona kwa vile hawakuwa na kazi ya kufanya.