Tanzania unemployment rate is higher than any EAC and SADC

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
 
Kumbe porojo tu nikajua umekuja na fact.
 
Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
What is consided unemployment, to you?
 
Commonly its the lowest in Africa and among the world
20190417_112357png.png
 
Story kama hizi, uwe unawapelekea jamaa zako kule upande ule. Ungepata like za kutosha.
 
Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
Jipange uludi tena😊😊😊
Screenshot_20190504-192918.png
 
Yaan we jamaa ni LIJINGAAAA la karne yaan
Kwa mtu yeyote aliyetembea outside Africa laxima acknowledge kuwa Tanzania unemployment rate is very high and uncomparable, yaan watu wengi wapo kwenye informal economy , hawkers , pettytraders are everywhere hadi mpango ikulu ,its insane , how can we build our economy with too much people out of formal economy
iv unajua kama SA ndio leading country ktk iyo issue ya unemployment. bro zile issue za xenophobia ni clear indicator blaza... next time usilete takataka zako hapa JF upeleke huko kajiado uzikusanyie hapo na uzichomee moto apoooooooooo
 
Yaan we jamaa ni LIJINGAAAA la karne yaan

iv unajua kama SA ndio leading country ktk iyo issue ya unemployment. bro zile issue za xenophobia ni clear indicator blaza... next time usilete takataka zako hapa JF upeleke huko kajiado uzikusanyie hapo na uzichomee moto apoooooooooo
Hujafika south Africa we we , SA kuna maviwanda kibao ya kila aina. Vijana wengi wana formal jobs sio hapa bongo hata machinga wa barabarani mnasema anaajila niamini kuwa ww ni kubwa jinga
 
Data za Unemplymenet rate kwa nchi za kwetu siyo za uhakika kwa vile tafsiri halisi ya emplyoment haijulikani. Kwa mfano, hapa Tanzania umachinga nao ni employment; na kwa data za namna hiyoinaonekana kuwa hadi December mwaka 2018, unemployment ya Tanzania ilikuwa ni kati ya 9.9% na 12.9%. Rwanda uneployement rate ilikuwa mi kati ya 1.0% na 17.8%, wakati Burundi ilikuwa ni kati ya 1.5% na 2.1%. Data za namna hiyo zina uncertainity kubwa sana hasa kwa vile nchi zetu hazina uhakiki wa kutosha kuhusu maisha ya raia wake. Tunaweza kuwa na data za mauzo na mapato kwa vile namba zake zinapatikana kirahisi, lakini data za kuhusu maisha ya raia hatuna kabisa kwa vile hatuna mfumo wa kodi unaouhisha mapato ya raia wote, kiasi kuwa mwisho wa mwaka kila raia anawakilisha tax return zake.

Kupima kiwango cha unemployment harakaharaka, hebu angalia kunapotokea jambo lolote hata dogo sana uone jinsi watu watakavyojaa pale mpaka askari waingilie kusimamia; wote hao ni kwa sababu hawana kazi ya kufanya.
 
Upo sahihi. Nimependa sana hii. Ongeza pia takribani 69% ya wanawake wa Tanzania hawajaajiriwa. Wana kazi za ndani za kutunza waume zao na watoto. Hawa wanaoongelea Unemployment rate ya Tanzania kuwa ipo juu wanajiweka wao tu kuwa baada ya kumalizw vyuo hawapati ajira. Hawajui kuwa Tanzania ni Nchi yenye kutegea kilimo na ajira kubwa iliyopo ni Kilimo. Watanzani zaidi ya 75% wanaishi kwa kulima, kufuga na kuvua samaki. Hawa wanasahau kuwa wazazi wao na ndugu zao wengi wapo Vijini kama wakulima, wafugaji na wavuvi. Na ndio wamewalipia ada mpaka kuanza kusema viwanda pekee ndiyo uchumi rasmi. Wakati sasa umefika kwa Taasisi ya Takwimu ya Taifa Kutoa Taarifa za ajira kuanzia Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Viwanda, Biashara na Huduma.
Data za Unemplymenet rate kwa nchi za kwetu siyo za uhakika kwa vile tafsiri halisi ya emplyoment haijulikani. Kwa mfano, hapa Tanzania umachinga nao ni employment; na kwa data za namna hiyoinaonekana kuwa hadi December mwaka 2018, unemployment ya Tanzania ilikuwa ni kati ya 9.9% na 12.9%. Rwanda uneployement rate ilikuwa mi kati ya 1.0% na 17.8%, wakati Burundi ilikuwa ni kati ya 1.5% na 2.1%. Data za namna hiyo zina uncertainity kubwa sana hasa kwa vile nchi zetu hazina uhakiki wa kutosha kuhusu maisha ya raia wake. Tunaweza kuwa na data za mauzo na mapato kwa vile namba zake zinapatikana kirahisi, lakini data za kuhusu maisha ya raia hatuna kabisa kwa vile hatuna mfumo wa kodi unaouhisha mapato ya raia wote, kiasi kuwa mwisho wa mwaka kila raia anawakilisha tax return zake.

Kupima kiwango cha uneplyment harakaharaka, hebu angalia kunapotokea jambo lolote hata dogo sana uone jinsi watu watakavyojaa pale mpaka askari waingilie kusimamia. Wote hao ni kwa sababu hawana jambo la maana la kufanya. Angalia watu wanaojaa airport eti kuipokea ndege mpya; majuzi niliangalia video kuwa Harmonize anamwendesha mpenzi wake kwa baiskeli huko kijijini kwao umma mzima wa watu walikuwa wanamkimbilia kumwona kwa vile hawakuwa na kazi ya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom